Mwanaume asichukulie uhasama au kukomoana !! Mkewe anambimba hivo hiyo mimba inampelekesha !! hilo nijambo la kawaida litapita baada ya kujifunguwa!!
Sasa Mkuu kama ulivyojinasibu kuwa ni mshikaji wako na as Brother !! na kuwa shemu ni mtaani wako !! hapo upo wewe unakubalika pande zote!!! Hivyo unapaswa uchukuwe jukumu la kumtetea kakako, na ulitulize twimbili kimaarifa...!!Hatar sana hii,kitu. Sometimes anamkomalia waende wote kwenye mizunguko yake. Jamaa akija kijiweni tu, dk mbili anataka arudishwe home..hatari sana
Elfu 15.duu! hiyo body spray bei gani?
Tena sio ndogo..........kubwa hasa..........
Eti nilipitia saloon duh..utetezi fake sana huu..sijui hata udanganye vipi ueleweke hapo..labda angekomaa tu na kusema na yeye mwenyewe hajui zimeondokaje..angekuwa wa kwanza kutenda miujiza.,
Elfu 15.
Huwajui wanawake ww! wanakrem mpaka kifungo cha shati cha juu kama umezoea kukifunga siku umerudi hme umekifungua unaweza kuanzisha vita visivyo rasmi.Huyo mke ni nouma,amekariri hadi jamaa aliondoka na msitu