Augustino Mrema bila Kofia

Augustino Mrema bila Kofia

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
Sikuwahi kumuona huyu mzee bila kofia hapo kabla.
Hapa alikuwa huko Moshi kwenye ibada ya kumbukumbu ya marehemu Askofu Stephano Moshi kwenye kanisa la Mamba Kotela.
DSCF4971%2B(800x600).jpg

DSCF5028%2B(800x600).jpg

DSCF4993%2B(800x600).jpg
 
DSCF4971 (800x600).jpg
Mrema akiongea na mbunge mtarajiwa wa jimbo la vunjo James Mbatia .
 
Huko kwao hawajaongeza majimbo mapya huyu mzee apumue kidogo, Hana amani kabisa.
 
Naona kofia kaiweka mfukoni kwa sababu ya baragashia uwa haipendezi kanisani watamuwona ni musulamu
 
Back
Top Bottom