njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
Alikua mtunza store, hakununuliwa kaletwa ili kuwapumbaza mapoyoyo ya Jangwani kua katoka timu ya England,,kwi,kwi,,,kwi!Bigirima katoka team gani na kanunuliwa bei gani
nakuaminia jombaa hata iile hoja yako ya juzi ya kura za CAF kwamba goli bora 70 percent za fans votes ha zi count ilikuwa sahihi kina Motsepe na viongozi wengine wa CAF huwa unapiga nao sana ma storyNisikilizeni mimi nyinyi.
Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.
OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.
Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.
Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
Viongozi wa group za watsup labdaNisikilizeni mimi nyinyi.
Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.
OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.
Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.
Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umeshachanganyikiwa wallah.Nisikilizeni mimi nyinyi.
Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.
OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.
Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.
Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
Juma Lokole unashinda na viongozi wa Simba wapi na wanakufanya nini Juma Lokole?Nisikilizeni mimi nyinyi.
Mimi ndio nashinda na viongozi wenu huko mitaani.
OKRAH ajamaliza mkataba wake na Bechem United ya Nigeria.
Huyo yuko Kwa MKOPO na atakuwa huru kuwa mchezaji rasmi wa simba mpaka mkataba wake uishe.
Eng Hersi anamfuatilia kwa karibu huyo mchezaji kabla haya tuma offer rasmi hapo dirisha dogo kwenda Bechem United.
Nisikilizeni mimi nyinyi.