lyatonga sifa waliyoitaja kuwavutia kabla hawajamtunuku huo Udr , ni kuwa aliwahi kupewa cheo cha unaibu waziri mkuu cheo ambacho hakipo kisheria ila kwa uchapakazi wake alikikalia na haitegemewi mtu mwingine kupewa
Rev,
Jikumbushe...mbio za Dr.Mrema mpk alipofikia...
Aliwageuka wapinzani na kusema kuwa yeye ni usalama wa taifa (hapo akiongea na media)
Akamfagilia JK kabla ya uchaguzi,
Akaapa kuwa kumuheshimu mkulu wa nchi,
Akadai kupambana na waovu wote wanaomdhihaki mkulu wa nchi,
Akawalaani wote wenye kumkejeli mkulu wa nchi,
HAISTAAJABISHI ila ni maajabu ya Tanzania hayo.
sasa kipi bora mrema apewe au jakaya kikwete'? Kati ya hawa watu wawili nani zaidi kwa upande wangu namuona mrema anastahili sana mara mia kuliko jakaya,
Nasikia huko mjengoni amepewa Rungu la kuiongoza Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, bila shaka atazionesha halmashauri PhD yake ni ya uzamivu wa masuala ya wananji.Mzee wa kiraracha juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nji hii hii bana phD nje nje!
Nazani katika watu wenye bahati kwenye bunge hili yeye ni wa kwanza,maana naamini kupata nafasi ya ubunge kwanza kwake ni jambo la kushukuru sana-pili kutunikiwa u-dokta pia naamin hajategemea-japo anadeserve kupewa
acheni Dr Lyatonga angalau ametunukiwa udr live mnakumbuka ile digrii yake ya marekani alijaribu kuitangaza akavaa joho nyumbani kwake akaita waandishi akajieleza kuwa ametunukiwa degree wachora katuni wakamtania sana bora hili limetimia kabla hajafa