Augustine Lyatonga Mrema: Ni popo, si ndege si mnyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Augustine Lyatonga Mrema: Ni popo, si ndege si mnyama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jun 21, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  wakati wa kuanza kupiga kura kwa ajili ya kupitisha bajeti mrema wa tlp alitoka nje ya ukumbi na hiyo ilikuwa ina ashiria yafuatayo.

  1. Aliogopa kupiga kura ya ndiyo kuiunga ccm mkono kwa kuogopa wangemuona ni msaliti watu wa upinzani au angewaudhi wapinzani

  2. Aliogopa vilevile kupiga kura ya kuunga upinzani mkono kwa kuogopa ccm wange mchukia na angewaudhi ccm

  3. Hivyo basi ili asiudhi pande zote mbili ilibidi atoke nje ya ukumbi wa bunge na asipige kura
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Huyo ndio Dr.Lyatonga Mrema kama ulikuwa humjui
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,121
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Njaa itamuua huyu mzee!!siasa za unafiki aache.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Lyatonga ni bajaji....siyo pikipiki (maana pikipiki ina matairi mawili) wala si gari(maana ina matairi manne).
   
 5. ngamiamzee

  ngamiamzee JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee ni mnafiki sana na njaa inamsumbua sana alisaidiwa sana na. Ccm kushinda vunjo baada ya ccm kuhujumiana
   
 6. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,066
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Muache kama alivyo he has expired so he is now playing his last card.
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  inasemekana kapiga sana hela za rushwa wakati wa ziara ya kamati ya bunge serikali za mitaa,..hii inatoka kwa wahasibu wa halmashauri,.nasikia walikuwa wanademand mil.10 kila halmashauri
   
 8. Rocket

  Rocket Senior Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu ameshachoka siku nyingi anasubiri retirement 2!!!!!
   
 9. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niliwah kumpiga swali ktk kipindi cha mchakato majimboni Tbc, ''mzee umezeeka sana na bungeni wanatakiwa vijana wa kazi, utaweza ww"? Akanijibu kijana bungeni kule hatubebi zege......dah nikajua huyu babu kweli 0.
   
 10. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona mie nimemsikia kabisa amepiga kura ya HAPANA. Tena ni wale wa mwanzo mwanzo? We mleta hoja umekurupuka.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Ndio ujuwe JF imevamiwa na makanjanja, mimi nimemuona na nimemsikia kwa masikio yangu, tena ndio mbunge wakwanza wa upinzani kuitwa jina na akasema HAPANA, Huyu ndiye aliebikiri kura za HAPANA kwa kambi ya upinzani.
  Hongera sana Mrema leo umenifurahisha to the maximum.
   
 12. Amakando

  Amakando Senior Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thread zingine watu waweke huku wakiwa na uhakika ni kweli kabisa alikuwa wa kwanza katika kura za HAPANA akifuatiwa na ZITO KABWE tafadhali tusilete hadithi za kufikirika
   
 13. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  jamani tuwe na uhakika wa kile tunachochangia.jana mimi ckuwa na umeme so sijaona ila nimelifatilia bunge kupitia jf na mtu aliyekuwa akitujuza alisema mrema amepiga kura ya HAPANA tena alikuwa mtu wa kwanza kutoka upinzani.sasa tumuelewe nani?napata wasiwasi na umakini wa baadhi ya wana jf.kama huna uhakika tulia usikimbilie kuanzisha uzi wakati hujui unachokianzisha.tuwe makini wengine ndo tunategemea hapa kupata habari.tujifunze na tujirekebishe jamani.
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  mleta mada acha kupotosha......ni kweli mrema alitoka nje lakini badae alirudi na alipiga kura ya HAPANA
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  kumbe ulikuwa ni wewe....hahaha...tena alingezea hapo akasema niko fiti muulize mke wangu nilivyo fiti
   
 16. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala la kususia posho linaonekana kupondwa na baadhi ya wapinzani akiwemo mh. Mrema. kitendo cha yeye kutopiga kura ya kupitisha bajeti ni kuondoa "lawama" toka upinzani. lakini kama kweli angekuwa haipendi bajeti hii,basi angepiga kura ili kuweza kupata wingi wa kura za hapana.lakini kwa kuwa anaitaka posho ya mjengoni,akaamua kutoka nje ili ccm waipitishe halafu yeye akiulizwa na wenzie aseme "mimi sikupiga kura" hii ni kutoisapoti chadema katika vita yake dhidi ya posho. Mrema ana akili sana,hawezi kupelekeshwa kama punda.

  “Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali za Mitaa aliondoka ukumbini muda mfupi kabla ya kuanza upigaji huo wa kura” (MWANANCHI, 22/06/2011)
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  wewe na wenzako ni waongo wakubwa. Mrema alipiga kura ya hapana wala hakutoka ukumbini
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiyo kura moja ingefanya nini?
   
 19. S

  SAM wa KILUNGU Member

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  binafsi nime msikia akisema "HAPANA" fuatilia hansard za bunge jana, acheni uzushi....eti mmesha mpa na sababu kisa posho,kwa nini msi muulize? achanei uhuni wa kuandika andika tu
   
 20. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si nimeweka source hapo? ifuatilie uisome
   
Loading...