SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
shukran kwa kutambua mafanikio hayo, kuhusu mvuto si kweli kwani hivi sasa jf inazidi kupata wanachama na wasomaji wake wameongezeka sana,hayo pia ni mafanikio makubwa ya jf,tena ogopa sana kusema jf inakosa mvuto.huenda woga wako wa hoja unakufanya uiogope jf. Unataka hoja zile za kukusapoti tu. Hutaki chalenji. Kumbe wewe si mwana jf shupavu
Lakini lengo la kuingia humu kwa mujibu wa bosi wenu Nape si kuisafisha CCM na kuibomoa CDM mbele ya Watanzania, jee katika hilo mumepata mafanikio pia? Kumbuka kuiboma CDM inabidi uende kwa watu ana kwa ana kwani wanaoingia humu mtanadaoni ni asilimia ndogo sana ya Watanzania ukilinganisha na idadi ya Watanzania ambao wanaiunga mkono CDM kupitia mikutano yake ya hadhara.Any way tuendelee hivi hivi mwisho wa siku tuta pima mafanikio ya kila upande, yaani kufanya mashambulizi kwenye mitandao v/s nguvu ya umma.Kwa heri dada yangu na siku njema