CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,464
wakati wa kuanza kupiga kura kwa ajili ya kupitisha bajeti mrema wa tlp alitoka nje ya ukumbi na hiyo ilikuwa ina ashiria yafuatayo.
1. Aliogopa kupiga kura ya ndiyo kuiunga ccm mkono kwa kuogopa wangemuona ni msaliti watu wa upinzani au angewaudhi wapinzani
2. Aliogopa vilevile kupiga kura ya kuunga upinzani mkono kwa kuogopa ccm wange mchukia na angewaudhi ccm
3. Hivyo basi ili asiudhi pande zote mbili ilibidi atoke nje ya ukumbi wa bunge na asipige kura