Xavi Hernandez Alcantara
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 278
- 286
- Thread starter
-
- #21
C.Breezy ni fundi wa Chorus,Vesi. ila alitulizwa kwenye Do You Mind. Alsina aliuwa saanaaaaa With Amaizing Voice.Nilisikia anaumwa jamaa....
Hizi zake nazikubali sana
benediction ft Rick ross
no love ft nick minaj
ila chris alikalishwa kwenye do you mind ya dj khaleed
Anajua kinomaaaa Nilitamani Nimsikilize kwenye Game kitambo Lkn naona kimyaaaaa...August Alsina ni noma..Tungi Kali ndio Sana zimemuathili Sana
Ila namkubali sana
Bado sio levo za CBC.Breezy ni fundi wa Chorus,Vesi. ila alitulizwa kwenye Do You Mind. Alsina aliuwa saanaaaaa With Amaizing Voice.
Wapi nimeandika levo za C.Breezy??? Ila C.Breezy alifunikwa kwenye hiyo ngoma.Bado sio levo za CB
It Feel Coming.Unamjua The Weeknd?
Asante MkuuAugust alsina-let me hit that
Ngoja nimcheki tuoneKuna dogo kaja kumuovertake anaitwa YK Osiris, huyo boya ni hatari ya jiji huko states na anajiita king of R&B
Nalifahamu hilo vizuri. But pia tumpe heshima yake Alsina. Mi namkubari pia..The Weeknd hana mpinzani asee
doohNakumbuka huyu jamaa aliwah kufanyiwa upasuaji wa jicho na kumfanya awe weak kwenye maisha yake ya kuburudisha.
It Feel Coming.
Hillis
StarBoy
Cant feel my face
Love me harder&Ariana Grande.
Nanyingine kibao
Wapi nimeandika kazidiwa? Screen Shoot nikutumie Laki moja kama nimesema hivyo?Kwa hiyo kazidiwa na August Alsina
Nimekwambia August Alsina ana Amaizing Voice but The Weeknd ni moto zaidi. Hujaelewa wapi?
kivip?Huyu dogo ni fundi sana.
Sema hiyo TECNO yako imeharibu uzi...,
"Ngoma Nyiki....Ya kipee".
Ila August Alsina alipatwa na matatizo kwenye familia yao yalipolekea shughuli zake za kimuziki kurudi nyuma.Wale wenzetu bwana sio sawa na sisi mtu akipata mafanikio tu anaweza acha mziki muone nicki minaj ndani ya game miaka9 sijuì 8 na yuko mbioni kustaaf aanzishe familia wakati huku tuna kina sugu