Nimeona post yake hiyo,nimejipa matumaini kwamba labda ni lyrics zilizopo kwenye moja ya nyimbo yake
Hope yuko poa
Mie ni mdau wa nyimbo zake...so far hana nyimbo mbaya,hata alizoshirikishwa nazo tamu kinyama
RReigns unakumbuka hii nyimbo?
Chaliifrancisco ulinidediketiaga π