AUDIT OF NGOs, is it mandatory | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AUDIT OF NGOs, is it mandatory

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by consigliori, Jun 29, 2011.

 1. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Heshima yenu wakuu,

  Naomba kufahamishwa kama NGOs zinalazimika kuwa audited kama yalivyo Makampuni. Pia naomba mwenye Non Governmental Organizations Act, No. 24 of 2002 atuwekee hapa nasi tuisome manake nimejaribu ku google bila mafanikio.

  Nawasilisha ombi
   
 2. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kwa kawaida NGO lazima ziwe audited. Donor yoyote hawezi akakupa pesa bila kuonyesha Audit reports. Usually kwa miradi ya NGOs inatakiwa iwe audited annually lakini inategemeana na donor requirements.
   
 3. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo unasema si lazima, unless donor ametaka au uongozi wa NGO husika unaona umuhimu wa audit. Sijui kama ndivyo umemaanisha
   
 4. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu, bado nasubiri majibu kwa yeyote anayeweza kusaidia
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  audit ni mandatory na kama unapokea USG money hiyo haina mjadala

  swali ni kuhusu anaye-audit, sidhani kama ni CAG, najua akina PWC, Ernst and Young, deloiite hufanya hizo audit
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  NGO Act
   

  Attached Files:

 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  MTM
  Makampuni ya audit yako zaidi ya 150; wewe unataja tuu matatu au unatampigia debe mwajiri wako? Haya mengine kama hili Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More unayaweka kundi gani?
   
Loading...