Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,914
- 10,273
Wewe huwezi mkubali Diamond hata afanye nini,hii ngoma ni kali sanaAnaboa siku hizi anajificha nyuma ya kollabo tu
Atoe wa kwake amshirikishe mtu
Wewe huwezi mkubali Diamond hata afanye nini,hii ngoma ni kali sanaAnaboa siku hizi anajificha nyuma ya kollabo tu
Atoe wa kwake amshirikishe mtu
Diamond ndo kashilikishwa sio nyimbo yakeKaishiwa siku hizi ni makolabo tu
Wimbo wa wa kawaida sana
We unaonaje?
Acha wiv wa kine***Anaboa siku hizi anajificha nyuma ya kollabo tu
Atoe wa kwake amshirikishe mtu
Mi sioni kama daimond yupo hapo kafunikwa mnoRespect, nyimbo ni nzuri yule mzee alikuwa yuko vizuri na Diamond kaimba vizuri sana pia muhimu kitu kizuri tusifie tu. Ngoma kali
Sijaelewa muda diamond anaimba unaziba masikio au simu yako inaconvert sauti ya diamond kuwa ya papa wembaw[emoji23] [emoji23]Aje ina kiwango cha kimataifa
Hii namsikia papa wemba tu diamond simsikii kabisa
je utanipendaga kumbe kakushirikisha wewe?Anaboa siku hizi anajificha nyuma ya kollabo tu
Atoe wa kwake amshirikishe mtu
je utanipendaga kumbe kakushirikisha wewe?Anaboa siku hizi anajificha nyuma ya kollabo tu
Atoe wa kwake amshirikishe mtu
Mimi naona kama anamchukia tu. Mimi ukweli napenda mziki mzuri haijalishi nani kaimba na hii ngoma iko poa hata kama Diamond hasikiki lakini hata Papa simuelewi ila melody poa kwa hiyo ni good song.Sijaelewa muda diamond anaimba unaziba masikio au simu yako inaconvert sauti ya diamond kuwa ya papa wembaw[emoji23] [emoji23]
It's a real song pitia kwny page ya marehemu papa wemba insta for more detailsHIYO NI EDITION ITS NOT A REAL SONG
Alianza kolabo na Davido=HIT
Kollabo na Hadija Kopa=HIT
Kolabo na AKA=HIT
Kolabo na AY=HIT
Kolabo na Papa Wemba=HIT
Inamaana ukuona hata video wakati inategenezwa paris embu ingia insta page ya marehemu papa wemba utaona video clipsHUO WIMBO SI KWELI NI SAMPLING TU KAMA KIZAIZAI NA FALLY IPUPA