Mr Why JF-Expert Member Joined Nov 27, 2019 Posts 2,992 Reaction score 5,661 Dec 7, 2019 #1 Hello nimewaletea Audio Mpya hebu tusikilize alafu mtoe mawaidha yenu.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,186 Reaction score 73,984 Dec 7, 2019 #2 Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza
Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza
Mr Why JF-Expert Member Joined Nov 27, 2019 Posts 2,992 Reaction score 5,661 Dec 7, 2019 Thread starter #3 Castr said: Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza Click to expand... Nakuelewa sana kaka nitarekebisha hayo yote kwenye video nafikiri Video itakuwa tofauti hakutakuwa na kasoro tena
Castr said: Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza Click to expand... Nakuelewa sana kaka nitarekebisha hayo yote kwenye video nafikiri Video itakuwa tofauti hakutakuwa na kasoro tena