Ninatarajia kufanya research siku chache zijazo ambayo inahusisha kuwahoji watu kwa hivo ninahitaji kifaa cha kurekodi mahojiano hayo ambapo baadaye ninaweza kuyahifadhi kwenye computer na baadae kuyafanyia analysis. Ni kifaa gani kinachoweza kufanya hiyo kazi na kinauzwa wapi kwa Dar es Salaam na bei gani?