Sio yenyewe hiyo angalia tetanus,wenye kuvaa zile zenyewe wakipiga picha wanakuwa either ndani ya yatch au kwenye mandhari inayoendana na thamani ya hayo madini huku pembeni kukiwa na chupa ya Moët!!!,sasa wewe ndugu umeipiga kwenye shuka la mmasai!!!