Aucho ni mchezaji class ya Chama, hawezi kucheza Yanga, msikilizeni Manara anavyosema!!

Mnavyohangaika utafikiri huyo Aucho ni Mess labda! Tufanye basi Aucho, Bangala, Fei Toto, Djuma, Kibwana, Job, Jesus, Mwanyeto wanajiunga ....... na Simba kwenye dirisha dogo! Mnapenda sana porojo!
😁😁
 
Simba banaaà! Wao wanamtamani Aucho, wanasikia raha wanavyodanganywa kuwa Aucho kamalizana na Simba... wakiambiwa Chama anakuja Yanga, wanarusha Ngumi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom