Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
 
Taarifa hii aione Barbra kwa malipo kufanyika
GSM inawakopa Wachezaji halafu Mishabiki yao ya hovyo hovyo Kichwani inawaamini na kudhani Jamaa wana nia njema nao wakati hivi sasa Wanatajirika kupitia Uuzaji wa Jezi zao na Nembo pia.
 
Mbumbumbu fc kwenye propaganda wanafeli Sana, ina maana Haji alishindwa ku recruit watu wenye viwango kweli!!! Ili eneo Yanga wame waacha distance kubwa Sana.
 
Mimi mzee tozi bwana wake nanihii kwa nini hawanitafuti nisaidiane na mke wangu ku promo kilabu chao cha wanzuki?
 
Varane hakucheza gemu ya Kwanza kwa sababu ya usajili wake kutokamilika licha ya kuwa kwenye club ya machester lakini hamkusema chochote.

Cha ajabu ni kipi? Acheni ushamba dunia nzima usajili ni process.
Ila senzo ni genius sana aisee Barbra ana mengi ya kujifunza kwake, unajua alikuwa kwenye kamati ya maandalizi ya world cup 2010?
nimependa sana jinsi alivyoandaa kambi ya morroco na ya kigamboni , jamaa ana vision sana hata jinsi alivyoshughulikia ITC ni hatari sana
 
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
Hii ishu ya Utopolo kuvurunda usajili wa wachezaji wa kigeni ingekuwa ni Simba leo huko E -FM na Wasafi wale wachambuzi uchwara wangerukaruka kama senene kuikandia Simba lakini wamelowa kama wameliwa kiboga hadharani vile. Yanga hii ya GSM imekuwa genge la kihuni tu.
 
E-FM ni Tahasisi awawezi kuzungumza Jambo linalo gusa maslahi ya nchi na Wananchi wake kwa kukurupuka, Yanga ni Tahasisi kubwa kabla ya kuzungumza Jambo la Yanga lazima upate taarifa kutoka katika vyanzo verified.
Unapo zungumza Jambo la Yanga uzito wake ni tofauti na vilabu Kama Simba na vinginevyo apa nchini.
 
Back
Top Bottom