Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
Mwambie Babra tunamsubiri Simba a.k.a VunjaBei SC Tarehe 25/9 kwenye Ngao ya jamii,Tutatafuna Nyama yake,Tutakunywa Supu yake na kula mifupa yake yote.Ndiyo mwisho wa makelele yenu.Tena hatutakuwa na huruma mwambie ajiandae kwa hilo aache umbea kufuatilia wanaume
 
E-FM ni Tahasisi awawezi kuzungumza Jambo linalo gusa maslahi ya nchi na Wananchi wake kwa kukurupuka, Yanga ni Tahasisi kubwa kabla ya kuzungumza Jambo la Yanga lazima upate taarifa kutoka katika vyanzo verified.
Unapo zungumza Jambo la Yanga uzito wake ni tofauti na vilabu Kama Simba na vinginevyo apa nchini.
Tahasisi ndio Nini?! Aliewaitaga nyani hakukosea!! Manyani hata shule hayana ni kubweka tu.
 
Usihangaike na jina la Nyani, Nchi hii Kuna watu wanaitwa Simba, Komba n.k mfano Iddi Simba, waziri Simba chawene, Capt Komba, Ayo yote ni majina Ila utu wa mtu ndio wenye thamani.
Simba na Nyani Ayo yote ni majina tu na wote wapo katika kundi la wanyama. Sasa uki itwa Simba unafurahi unamcheka anaye itwa Nyani uwo ni Uzuzu.
 
GSM inawakopa Wachezaji halafu Mishabiki yao ya hovyo hovyo Kichwani inawaamini na kudhani Jamaa wana nia njema nao wakati hivi sasa Wanatajirika kupitia Uuzaji wa Jezi zao na Nembo pia.
pole mkuu kwani kunahela umechangia'
wanakutumia vibaya kaka hao sio watu wanakutumia kinyume mungu anawaona waache wajifurahishe
 
GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.
Hivi kuna utapeli mkubwa kwenye soka kuwahi kutokea duniani kuuzidi ule wa mtu kujikopesha 49% ya hisa za klabu kwa Sh. 20 Billion wakati hasimu anapata 41 Billion kwa kuuza haki ya maudhui peke yake?! Yaani maudhui ya mtani peke yake, yanaweza kununua klabu yenu yote; halafu bado tu hujajua jinsi mlivyopigwa mchana wa saa 7!!
 
Nimeandaa petition bwana MO arudishiwe hela yake hiyo b 20 hatuitaki tunataka makombe tu..yaani TAPELI ndani ya miak 4 limetupeleak robo fainali 2 na ubingwa back to back 4 TUNALIPENDA SANAAAAAA
 
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
Sikupingi mkuu,, nakumbuka hata ile taarifa ya nugaz kufukuzwa niliipata hapa kwenye nyuzi zako before kutangazwa rasmi na msukule kuingizwa
 
Varane hakucheza gemu ya Kwanza kwa sababu ya usajili wake kutokamilika licha ya kuwa kwenye club ya machester lakini hamkusema chochote.

Cha ajabu ni kipi? Acheni ushamba dunia nzima usajili ni process.
Hawawezi kukuelewa mikia
 
Kule makolokoloni Mo kawapa check fake ila majamaa yalivyo mbumbumbu hata kuhoji hayawezi. Mo bidhaa zake anaweka kwenye jezi bila malipo yoyote na kila hela anayotoa anadai ni mkopo. Sijawahi kuona timu ya ajabu kama Simba aka Utelembwe fc!
GSM inawakopa Wachezaji halafu Mishabiki yao ya hovyo hovyo Kichwani inawaamini na kudhani Jamaa wana nia njema nao wakati hivi sasa Wanatajirika kupitia Uuzaji wa Jezi zao na Nembo pia.
 
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?

Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu Kudadeki zenu.

GSM na Injinia Hersi Said wenu Kutwa wanawadanganyeni huku wakiwanyonya na Kuwatapeli kisha mnawaamini na Kuwaona ni Wakombozi Kwenu na wanawapelekeni kuzuri wakati kumbe ndiyo wanazidi tu Kuwadidimiza.

Kama kuna Mtu ambaye huwa nina bahati Kubwa ya Kupata Taarifa za Siri za Yanga SC basi ni Mimi Mightier na kuna Taarifa zingine Nyeti zingine Mbili moja ya Kumhusu Mwenyekiti Msola na GSM na ya Matawi ya Yanga na Injinia Hersi namalizia Kuzichakata ili nizimwage hapa hapa JamiiForums moja baada ya nyingine.

Yanga SC mtaniomba Poo wenyewe JF!!
Afu yakitokea kama.ya morrison wanasema watu vibaya
 
Back
Top Bottom