Aua naye kauawa

Aua naye kauawa

maandiko yanasema anaeua mwandamua nae atauawa na wanadamu.
Qur%27an_5:32
na
Genesis 9:6 ... "Whoever kills a human being will be killed by a human being

Mathayo 5:
38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;

39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.

40 Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.

41 Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili.

43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
Wanyumbaniee Wapi nimekurupuka ?? just show me wapi ,be fair!! tafadhali fuatilia kabla sijakupandishia.....; au niombe radhi.

Naomba upandishe kwanza ukishuka niambie ili nikuonyeshe ni wapi umekurupuka,kwa sbb kwa ss naona umeshakuwa na dhana ya kupandisha!
 
Naomba upandishe kwanza ukishuka niambie ili nikuonyeshe ni wapi umekurupuka,kwa sbb kwa ss naona umeshakuwa na dhana ya kupandisha!
Mmmmh kweli kuna mtu ampandishie swahiba? Nimekusemsha kinyumbani hukunijibu nkaona Wee si msukuma japo lafudhi yako ni ya kwetu!! itanibidi nukusemeshe yaani yaani za pwani!! Anyway haijalishi "fukuziyaa tu"
jioni njema...
 
hivi kuna tofauti kati ya Mwehu, Kichaa, Punguani na.Chizi?
 
uko sawa ndugu
tujikumbushe kuwa sheria tunazotumia mataifa zimemegwa kutoka katika amri za Mungu
kwa wale waliosoma sheria somo la jirispruendence wanaelewa mambo ya devine laws,cannon laws etc
Nchi yoyote duniani adhabu ya kuua kwa kukusudia adhabu yake ni kifo kwa kunyongwa au sindano ya sumu na kwa nchi ambazo wamefuta adhabu ya kifo utafungwa maisha
Aya nilizoweka hapo zi wazi ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga.
yesu huyo huyo anasema hakuja kutengua torati bali kulihitimisha
hajasema anaeuwa asiuwawe anaema tuwapende maaudi nk...
Unaweza kumsamehe mtu atakae muuwa mwanao au mzazi wako?
bare in Mind kuwa sheria za nchi ziko juu ya maandiko..
Hayo uliyoandika ni mambo ya imani zaidi lakini kwa sheria au serikali za wanadamu ukiuwa nawe utauliwa..

Mathayo 5:
38 Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;

39 Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.

40 Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.

41 Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye mbili.

43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;

44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom