kkwahiyo ulitaka waandike vipi kama kutaja tu tayari ni kosa??JamEniii kichwa cha habari " afa Msikitini " kuna uhusiano gani?? yaani lazima muwachookoze wenzenuuu? Very sad!
kweli mtoa mada ajielewei kabisa labda ananyonya kiroba
Stroke; just be fair!! huoni Anaprovoke hisia !! hatakuandika tumfunzee? hakuna tabu Mkuu waandike watakavyo!kkwahiyo ulitaka waandike vipi kama kutaja tu tayari ni kosa??
JamEniii kichwa cha habari " afa Msikitini " kuna uhusiano gani?? yaani lazima muwachookoze wenzenuuu? Very sad!
WAKUU!!Habarini za mchana?.
Taarifa zilizonifikia muda mfupi uliopita kutoka mwanza zinaeleza kwamba mtu mmoja amekufa maeneo ya Msikiti wa Ijumaa Mwanza asubuhi ya Leo baada ya kuchomwa na kisu.
Baada ya kuchomwa kisu alianguka na kufa papo hapo kisha aliyehusika na tukio akakimbia lakini wananchi wakamkimbiza wakamkata Ngwala na kuanza kumshambulia kwa mawe na kumponda ponda vibaya naye akafa hapo hapo.
Mwisho wa siku aliyeua naye kauawa!hii ndiyo Dunia yetu ilipofikia!
Picha zitawajia baada ya muda mfupi kadri nitakavyokuwa nazipokea,wenzetu wa Mwanza wakina Pwaaaa,Thinker,na wengineo wengi wa huko wekeni hali halisi ilivyokuwa.
vizia vizia utupe hata store kutoka kijiwen ni ugoni au siasa zimewauwa hawa jamaa
Hata mimi nilivyosoma heading nikajua muumini amechomwa kisu ndani ya msikiti, kumbe msikiti umetajwa ili kuvutia wasomaji maana humu JF ukitaka mada isomwe na wengi basi taja hiyo nyumba ya ibada na waumini wake.JamEniii kichwa cha habari " afa Msikitini " kuna uhusiano gani?? yaani lazima muwachookoze wenzenuuu? Very sad!
Wandugu Mwaderaah ,mwangaLuka...Eeeee Gawizzaa nitafurahi ukinijuza hiyo neno......Samahani mkuu,Unajua maana ya neno W5+H?!
aliyemuu mwenzake alidai kuu jamaa alimuua baba yake xa amekuja kulipiza kisasi ila nae wakamuua.ndo nami nilivyoambiwa
Wandugu Mwaderaah ,mwangaLuka...Eeeee Gawizzaa nitafurahi ukinijuza hiyo neno......
wabejaa.
Ahsant Muadham Ndibalema Ubarikiwe "Wallah" nimo humu siku zote... Lakini sijaelewa UNDANI wao sikjajua MAKUSUDI yao sijajifundisha USHENZI wao.... lakini yote kheri we always learn by mistakes.... Time ipo na mema yapo!! maneno yako kweli Mkuu ukitaka ATTENTION hizi mbinu za MEDIA za kiMagharibi (BBC,CCN,FOXnews, nk) "Allah ikFinaa shari zao"Hata mimi nilivyosoma heading nikajua muumini amechomwa kisu ndani ya msikiti, kumbe msikiti umetajwa ili kuvutia wasomaji maana humu JF ukitaka mada isomwe na wengi basi taja hiyo nyumba ya ibada na waumini wake.
Wanyumbaniee Wapi nimekurupuka ?? just show me wapi ,be fair!! tafadhali fuatilia kabla sijakupandishia.....; au niombe radhi.Basi mkuu usiwe unakurupuka tu na kuponda bila kujua.