Jamaa wanapenda sana kujipendelea. Kwa jinsi walivyokuwa na makeke katika uzinduzi nilijua itatumika kwa wananchi wote kumbe ni Diplomatic Passport!Yaani wanaanza viongozi tu, wananchi mpaka 2018..?
Jamaa wanapenda sana kujipendelea. Kwa jinsi walivyokuwa na makeke katika uzinduzi nilijua itatumika kwa wananchi wote kumbe ni Diplomatic Passport!
Kwani hivi sasa nchi zenye matatizo raia wake huingia vipi nchi nyengine ? Hizo pass ni kukuwezesha kukaa si zaidi ya miezi 3. HAINA maana kama wewe ukienda Kenya utakuwa na haki kama mkenya, au mganda Aje Tanzania hana haki kama raia. Hio ni kurahisisha biashara na kutembea bila ya vizuizi vingi. Hilo la uhamiaji sasa lipo na Hamna Hata hio pass Moja .Hakuna nchi inayotaka raia wa nchi nyingine wakimbilie kwake na kuishi kama wazawa, ni kuchochea xenophobia kama South Africa.
Hiyo passport ni utangulizi tu kabla ya kuvunja mipaka yote ya Afrika na kuwa nchi moja mwaka 2063.Kwani hivi sasa nchi zenye matatizo raia wake huingia vipi nchi nyengine ? Hizo pass ni kukuwezesha kukaa si zaidi ya miezi 3. HAINA maana kama wewe ukienda Kenya utakuwa na haki kama mkenya, au mganda Aje Tanzania hana haki kama raia. Hio ni kurahisisha biashara na kutembea bila ya vizuizi vingi. Hilo la uhamiaji sasa lipo na Hamna Hata hio pass Moja .