AU "yapumulia mashine"

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Umoja wa Africa (AU) unakabiliwa na matatizo ya kifedha kiasi cha kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Mmoja wa Makamishna kwenye Kamisheni ya umoja huo umeshindwa kuendesha shughuli zake za kila siku baada ya nchi kadhaa kukataa kulipa ada za uanachama. kamishna huyo ameongeza kuwa, nchi za kiarabu ambazo kwa zinakumbwa na misusuko kama vile Misri, Libya, Morocco na Tunisia ndizo huchangia kiasi kikubwa cha fedha kwenye umoja huo na hali ya hivi sasa imepelekea nchi hizo kushindwa kulipa ada ya uanachama na hivyo kukwamisha shughuli za kila siku za Umoja wa Africa.

SOURCE: AP
 
US na NATO walipoamua kuikomoa Libya na hasa Gadaffi kwa kutaka United States of Africa na zile benki za Afrika ambazo zingepunguza au kuondoa utegemezi wa "wazungu" na vyombo vyao vya kuziadabisha nchi za Afrika walijua kuwa ikianguka Serikali ya Gaddafi na utegemezi wa Afrika utaongezeka na haka ka"AU" nako katakwenda na maji.

Kuna ile msemo ya mswahili inasema.., "naua dege mbili kwa jiwe moja!"
 
Masikini weee, wasije tu wakamrudisha mama Migiro kwa kukosa pesa ya kumlipa mshahara!!!
 
Mtu wa kuzilipia nchi za Africa ada za uwanachama alikuwa Gaddafi, sijui itakuaje tena AU ndio inakwenda kuzikwa!
 
Siwamtume Kikwete akatembeze Kopo kwa niaba ya AU, kwa jinsi anavyopenda safari ataishangilia hiyo Post.
 
Hawa nchi za Magharibi ni wazuri kweli wa kupanga namna ya kukamata mtu...
Yaani wanajua kwamba wameshampunguza nguvu Ghadafi basi AU ni lazima itayumba..
Kadri AU itakayoyumba ndiyo uwezekano wa wao kujipenyeza zaidi Africa ku-meet interest zao..
Kudos..
 
I don't think it is too late to save the United State of Africa. What we(Africans) need is to act without hypocrisy as other African heads of states did to Gaddaf and Libyans by not defending them from NATO invasion though they tried to help Gen. Al Bashir of Sudan. What I mean here is, we do not need to rely on some of scrupulous African leaders of today to do it for us, for sure they wont do it. Wherever you are brothers and sisters think the way to form a strong real Africa Unity which will attain highest level of development for the people of Africa. We have also to dare think how we can improve technologically to surpass those of Americans,Europeans, Middle East people, Asians and Australians, because technology plays a major role in facilitating the development.

Brothers and sisters whenever a best implementable plan to realize the above stated objectives come in your minds act cautiously and quickly to implement it.

Brothers and Sisters we all at least know who do not like to see a RISING STRONG REAL UNITED AFRICA. Be strong, we will make it.
 
Duh kweli ss ndo naona madhara ya machafuko
US na NATO walipoamua kuikomoa Libya na hasa Gadaffi kwa kutaka United States of Africa na zile benki za Afrika ambazo zingepunguza au kuondoa utegemezi wa "wazungu" na vyombo vyao vya kuziadabisha nchi za Afrika walijua kuwa ikianguka Serikali ya Gaddafi na utegemezi wa Afrika utaongezeka na haka ka"AU" nako katakwenda na maji.

Kuna ile msemo ya mswahili inasema.., "naua dege mbili kwa jiwe moja!"
 
Back
Top Bottom