Au mimi ndio jini mwenyewe?

Au mimi ndio jini mwenyewe?

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,684
Reaction score
6,409
Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
 
Nusu jini, nusu binadamu.

Hatari sana, utupe mrejesho hilo jini litapokimbia.

Na Pesa zao zikiongezeka utujulishe pia.
 
nimecheka sana hahahahahah!!! we jamaa ni bwege sana
 
Jini anaangalia kushoto na kulia ndo anavuka barabara
 
Back
Top Bottom