Watamani tuNifanyie mpango nifahamiane Na kujuana Na moja
haha haha haaaaWazungu huwa wanakaa nao kiulaini kabisa
Hahahaha
I know hahahahahaha haha haaaa


nausikiaga sna huu msemo but sielewi maana yke ..huwa wanamaanisha nni ??Living la Vida loca
Kweli hawa ndowatu wa JF great thinkersChumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?