Heartiekay
Member
- Nov 2, 2017
- 48
- 40
majini ya Dar es Salaam hayoHahahaha
Tena mpaka umekimbia nje wewe utakuwa jini mkata kambaChumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
Hahahahhahhahahahaahaaaa
Hahahhahahhaa hatariTena mpaka umekimbia nje wewe utakuwa jini mkata kamba
Hayana nenomajini ya Dar es Salaam hayo
Yanapenda Kitimoto Na bia hayo, hadi yanaboaHayana neno
Ni kukaa nayo vizuri tu
Hata Dari Haina nyumbaNyumba haina dari??
HahahahaYanapenda Kitimoto Na bia hayo, hadi yanaboa
Miss Natafuta anayajua vizuri. Yeye Hali Wala hanywi. Ila anapenda kupika huyooooooHahahaha
Duhh,,,Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
Hawa hawataki vuruguMiss Natafuta anayajua vizuri. Yeye Hali Wala hanywi. Ila anapenda kupika huyoooooo
Nifanyie mpango nifahamiane Na kujuana Na mojaHawa hawataki vurugu
Na ukikaa nao vizuri wanakufanyia kazi ZOTE!
Beautiful Creatures!