Au mimi ndio jini mwenyewe?

Au mimi ndio jini mwenyewe?

Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?[/QU
 
Musoma kuna hatari!

Unanikumbusha nilienda kwa mjomba ikapotea Remote ya Tv, aunt akasema hatujawahi ibiwa humu ndani iweje leo?
 
Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
Ha ha ha ha ha ha ha
Usisahau update
 
Nahisi utakuwa ama jini Subiani au Makata manake hao waki-feel harufu ya ubani tu; lazima watoke nduki
 
Back
Top Bottom