AU Leaders hawana meno

AU Leaders hawana meno

Mr. Teacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
330
Reaction score
88
Viongozi wetu kiafrika inaonesha ni jinsi gani hawana meno kabisaaaaa!!! yaani tunavamiwa na westeners halafu wanashindwa kuchukua concrete actions badala yake wanabaki wakijikomba tu kwa hao wanaoitwa "WAKUBWA"!!!
 
Back
Top Bottom