[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au kwa kua yeye ni mlemavu ndio maana hutaki kurudiana naye?
Hilo neno " huwezi kua nae" limekaaga kimadharau dharau sana..Kuna kauli zinakera aisee
Uko kwenye mahusiano mapya ..mwambie tu hauwezi kua nae.
Ukipendwa kawaida huwez tulia..Hivi ninyi mna kismat hadi mnapata wanawake wa kuwaacha acha tu,
Mi nikiona dalili zote za kupendwa na mwanamke kupita kiasi, hakika nitatulia tuli.