Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
ATTITUDE IS EVERYTHING
-Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako.
-Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako.
-Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna kipindi katika maisha yako ukikua una uwezo mkubwa lakini sasa umepungua kidogo kutokana na kuingiza negative thoughts in your mind.
-Attitude ndio kila kitu maana kila kitu ufanyacho huanza na wazo
-ulivyo na utendavyo ni matokeo ya mawazo uliyonayo
-Moyo wako ni control centre ya nawazo yako
-Filtet ya mawazo ni ubongo wako
-Mawazo sio chochote bali ni matokeo ya vile vilivyojaa ndani ya moyo wako
-kubadili your attitude/ mtizamo kwanza lazima ubadili moyo wako.
- COMPUTER KUBWA KUKIKO ZOTE NI UBONGO WA BINADAMU.------- na kama ni computer software ni your mind; unaeza fanyia programming ubongo wako ili uwe super human being
- umewahi jiuliza hollywood wanatumia mabilion mangapi ya pesa kutengeneza na kutangaza filamu zao? Kwenye akili yako nikikuuliza ukisikia kuna gaidi kwenye akili yako atakuja muarabu, ukisikia jambazi kwenye akili inakuja mwafrica, ukisikia mfanyabiashara ya madawa ya kulevy inakuja mmexico, ukisikia kuna mtu kagundua kitu kikubwa akilini mwako anakuja mzungu:
Huo ni mfumo wataalamu wa saikolojia wanaufahamu ukitaka kumbadili na kumtawala mtu mfanyie systematic programming ya akili yake:
Macho ya binadamu huvutwa zaidi kuangalia uzuri, yakivutwa kuangalia ubaya huutia moyo wa mtu majeraha. Nadhani huu ndiyo mchango wangu kwenye hii mada. Ubarikiwe sana...Poul Freire aliopandika kitabu chake Pedagogy of oppressed huko brazili alikasirisha wajanja wachache akafukuzwa, maana wajanja wengi hawataki wajinga wajitambue: Hekima ya shule haiwezi kukufanya uwe Enlightened being; bado utakua human being aliyekariri mawazo ya watu wengine ili hali hawezi kutengeneza yake.
Braining Programing ni muhimu mmno
- Ear gate- chukua positive things to listen, do you know hata musics unasikiliza zina effect in your life?
-Mouth gate- chunga unachoongea maana ni energy una send......
Eye gate- chunga unachoangalia sana kina effect kwenye mfumo wako wa kufikiri --------------
Nimepata kwa kunzia....ATTITUDE IS EVERYTHING
-Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako.
-Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako.
-Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna kipindi katika maisha yako ukikua una uwezo mkubwa lakini sasa umepungua kidogo kutokana na kuingiza negative thoughts in your mind.
-Attitude ndio kila kitu maana kila kitu ufanyacho huanza na wazo
-ulivyo na utendavyo ni matokeo ya mawazo uliyonayo
-Moyo wako ni control centre ya nawazo yako
-Filtet ya mawazo ni ubongo wako
-Mawazo sio chochote bali ni matokeo ya vile vilivyojaa ndani ya moyo wako
-kubadili your attitude/ mtizamo kwanza lazima ubadili moyo wako.
- COMPUTER KUBWA KUKIKO ZOTE NI UBONGO WA BINADAMU.------- na kama ni computer software ni your mind; unaeza fanyia programming ubongo wako ili uwe super human being
- umewahi jiuliza hollywood wanatumia mabilion mangapi ya pesa kutengeneza na kutangaza filamu zao? Kwenye akili yako nikikuuliza ukisikia kuna gaidi kwenye akili yako atakuja muarabu, ukisikia jambazi kwenye akili inakuja mwafrica, ukisikia mfanyabiashara ya madawa ya kulevy inakuja mmexico, ukisikia kuna mtu kagundua kitu kikubwa akilini mwako anakuja mzungu:
Huo ni mfumo wataalamu wa saikolojia wanaufahamu ukitaka kumbadili na kumtawala mtu mfanyie systematic programming ya akili yake:
Poul Freire aliopandika kitabu chake Pedagogy of oppressed huko brazili alikasirisha wajanja wachache akafukuzwa, maana wajanja wengi hawataki wajinga wajitambue: Hekima ya shule haiwezi kukufanya uwe Enlightened being; bado utakua human being aliyekariri mawazo ya watu wengine ili hali hawezi kutengeneza yake.
Braining Programing ni muhimu mmno
- Ear gate- chukua positive things to listen, do you know hata musics unasikiliza zina effect in your life?
-Mouth gate- chunga unachoongea maana ni energy una send......
Eye gate- chunga unachoangalia sana kina effect kwenye mfumo wako wa kufikiri
--------------
Hyo maneno ya mwisho kbsa, series na movie za kizungu zinahusikaATTITUDE IS EVERYTHING

Attitude (mtazamo) ni namna unavyofikiri na jinsi kufikiri kwako kunavyoathiri kutenda kwakoNini maana ya neno mtazamo au attitude?
Je kila mtu aweza kubadili mtazamo wake au kuna wengine hadi nguvu ya nje iwasaidie kubadili mitazamo yao?
Je mtu anaweza kurithi mtazamo mzuri?
Nadhani watu wanapendelea mada za kina Ambanino lakini siyo za kufikirisha sana kama hizi...Uzi mzuri lakini wachangiaji wachache; ni kwa nini?
Alieleta Dini humu ndio kauharibuUzi mzuri lakini wachangiaji wachache; ni kwa nini?
Na yeye ndo mtazamo wake! Kuna watu uwezo wao binafsi kujadili mambo ni mdogo hadi wafanye reference. Ila tuendelee mkuu.Alieleta Dini humu ndio kauharibu