Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,984
Mimi Wonderful wa JF, nikiwa na akili timamu na bila kushurutishwa na mtu yeyote,naomba kupigwa ban ya masaa 24 kuanzia leo tar 01/01/2017 mpaka kesho tar 02/01/2017 ili niwe miongoni mwa member wa kwanza kupigwa ban mwaka huu wa 2017.
Ni matumaini yangu kwamba ombi langu litapokelewa kwa mikono miwili.
Wako ktk ujenzi wa Taifa.
Wonderful wa JF.
Ni matumaini yangu kwamba ombi langu litapokelewa kwa mikono miwili.
Wako ktk ujenzi wa Taifa.
Wonderful wa JF.