Lepapalongo
Member
- Jan 28, 2009
- 92
- 11
Kuna jamaa wanajinadi wanauza app toka TIGO Wakati tigo wanasema hawawatambui in details fungua hii link uone http://www.anti-mobileapp.wapka.mobi/index.html je kuna ukweli hapo au ndo mambo ya mjini? Nawakilisha kwenu wataalamu.