M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,775 Reaction score 2,198 Jul 27, 2012 #1 Kila ninapo - attach file kwa email account yangu ya gmail wakati natumia laptop yangu hiyo attachment inashindikana ku-upload. Lakini nikitumia computer nyingine attachment inakubali. Tatizo ni nini? Natanguliza shukrani kwa ushari wenu
Kila ninapo - attach file kwa email account yangu ya gmail wakati natumia laptop yangu hiyo attachment inashindikana ku-upload. Lakini nikitumia computer nyingine attachment inakubali. Tatizo ni nini? Natanguliza shukrani kwa ushari wenu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,275 Reaction score 44,410 Jul 27, 2012 #2 moja wapo ya tatizo ni kua na internet mbaya yenye slow uploading speed
Petersume Member Joined Jun 21, 2012 Posts 42 Reaction score 11 Jul 28, 2012 #3 try using another browser...like safari or chrome/ ....if the problem persist check ur internet conectn speed and the magnitude of the file /Mbs
try using another browser...like safari or chrome/ ....if the problem persist check ur internet conectn speed and the magnitude of the file /Mbs
M MAKAH JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,582 Reaction score 267 Jul 28, 2012 #4 cheki ukubwa faili - ni zaidi ya 25MB? Gmail ina attach fasta zaidi kuliko yahoo