Atripla

nyau

Member
Oct 31, 2007
28
1
Habari?

Kuna mtu anaweza kuniambia kama Atripla, an HIV ART, inapatikana kwenye clinic za HIV hapa Tanzania.

Asanteni

Nyau
 
Asante kwa jibu la haraka.

Kuna mtu anajua kama hizi ni generic atripla au la.

Asanteni
 
Asanteni sana kwa majibu.

Ntaenda CTC ya karibu yangu na kufuatilia hapo.

Nyau
 
Atriplar ni trade name, ni mchanganyiko wa dawa tatu. Angalizo langu ni kuwa kabla ya kutumia dawa hii lazima upimwe figo zako kama zinafanya kazi vizuri. Tafadhali onana na daktari kwanza kabla ya kuanza kutumia dawa.
 
Asante kwa ushauri juu ya kupima figo kwanza.

Nipo tayari kwenye regimen ya Atripla. Nilikuwa diagnosed wakat nipo shuleni mwaka juzi na nikaanzishwa Atripla Wakati nipo huko ughaibuni. Sasa nimerudi nyumbani baada ya shule and najiuliza kama nitaweza kuendelea kupata Atripla from CTC hapa nyumbani maana nilizokuja nazo zita last for only 6 more weeks.

Nyau
 
ATRIPLA zipo kibao(EFZ/TDF/FTC) 1100Mg tabs.,ndizo zinazotumika Bongo,.Hata hivyo ukiikosa ukapata mchanganyiko wa TRUVADA na EFZ bado unapata ATRIPLA HIYO HIYO ,.usikonde
 
Back
Top Bottom