Atm ya traffic daraja mlalakuwa takukuru mko wapi?

Atm ya traffic daraja mlalakuwa takukuru mko wapi?

Halafu wale jamaa pale darajani ndio chanzo kikubwa cha foleni njia ya mbezi chini. Mi wananiudhi kweli kweli.
 
kila mtu anakula ofisini kwake....kama kweli una uchungu tuungane kwanza kuwatokomeza wanaokula mabilioni yetu na kuuza twiga na tembo wetu sio hao dagaa kuna mipapa kibao inakula bure bure tu mali zetu bora hata hao wanashinda juani
 
Back
Top Bottom