ATM -Usiwe na wasiwasi chanja kwenye nyufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ATM -Usiwe na wasiwasi chanja kwenye nyufa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zakumi, Jun 5, 2009.

 1. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Jamani alikwenda club wanapocheza strips lakini hakawa hatoi tips za kuchomekea kwenye vichup! kwa ubahiri.

  Mnenguaji mmoja akamuuliza mbona utoi kitu. Jamaa akajibu sina chenji. Nina ATM card tu.

  Dada akamjibu hiyo sio taabu. Mbona mashine tunazo. Dada akachora saba na kumwambia jamaa achanje kadi yake kwenye nyufa mbili.
   
Loading...