Obi JF-Expert Member Jul 6, 2009 374 79 Jun 12, 2012 #1 View attachment ATM_Thefts_Presentation (1).pdf Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi.
View attachment ATM_Thefts_Presentation (1).pdf Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi.
Jotojiwe JF-Expert Member Mar 24, 2012 335 130 Jun 12, 2012 #2 Jaman anayeweza kutusaidia tunaotumia simu zisizo na uwezo wa kufungua pdf tusome huo ujumbe tutamshukuru sana.
Jaman anayeweza kutusaidia tunaotumia simu zisizo na uwezo wa kufungua pdf tusome huo ujumbe tutamshukuru sana.
Zuia Sayayi JF-Expert Member Mar 28, 2011 841 133 Jun 12, 2012 #3 Mh naombeni na cc wenyewe cm m2saidie
dlink Member Nov 19, 2011 70 18 Jun 13, 2012 #4 Obi said: View attachment 56204 Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi. Click to expand... ni noumer huo wizi, nadhani hata bongo ushafika maana Kenya, Rwanda & Uganda ni victims already
Obi said: View attachment 56204 Kwa watumiaji wa ATMs kuweni makini sana. Kuna aina ya wizi umeingia. Angalieni hiyo attachment kwa maelezo zaidi. Click to expand... ni noumer huo wizi, nadhani hata bongo ushafika maana Kenya, Rwanda & Uganda ni victims already
K kaeso JF-Expert Member Mar 22, 2011 551 96 Jun 13, 2012 #5 Hapo kweli lazima uibiwe, asante sasa nitakuwa makini.
Obi JF-Expert Member Jul 6, 2009 374 79 Jun 13, 2012 Thread starter #6 kaeso said: Hapo kweli lazima uibiwe, asante sasa nitakuwa makini. Click to expand... Circulate to people around you. Wawe makini kwenye matumizi ya ATMs
kaeso said: Hapo kweli lazima uibiwe, asante sasa nitakuwa makini. Click to expand... Circulate to people around you. Wawe makini kwenye matumizi ya ATMs
John locke JF-Expert Member May 6, 2012 828 1,262 Jun 13, 2012 #8 Inanihusu ila kanokia kangu kana OS ya kawaida sana kufungua hilo file la pdf ni inshu.
Makala Jr JF-Expert Member Aug 25, 2011 3,395 1,110 Jun 13, 2012 #11 Post japo page moja ya content iliyopo kwenye WARNING yako kuhusu ATM lasivyo UMENIACHA SOLEMBA
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Jun 13, 2012 #13 Hii imeshashtukiwa hawaifanyi tena.siku hizi wanakukaba unatoa PW wanakomba akaunti wanatupa card