ntampelekea babu yangu kule
kijijini...asante sana sana mwanangu, nilikua namalizia kuom,ba ili
nikutumie meseji, ile namalizia tu alah, si ndio nikaona ka-ujumbe
kutoka kwako? Ubarikiwe sana mwanangu
ntampelekea babu yangu kule kijijini...asante sana sana mwanangu, nilikua namalizia kuom,ba ili nikutumie meseji, ile namalizia tu alah, si ndio nikaona ka-ujumbe kutoka kwako? Ubarikiwe sana mwanangu
Miss je??hii duka picha
Waswahili noma, itaibwa na ukuta mzima wakanyambulie mbele ya safari!
Hawa wenzetu wapanda ngamia, mengi wanayafanya hata kuua kigaidi wanaua lkn mambo ya kuiba wanaogopa sana!