Atletico Paranaense vs yanga

Ndo tuseme wizi mwingine au....hawa jamaa kesho wana mechi kwao leo wako bongo?
 
hivi nyinyi kwa akili yenu mlitegema walete timu huku wakati ligi kwao inaendelea? hao wnaokuja ni reserve players, mwenye macho haambiwi tazama, hawa ni wafanya biashara
 
Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake.
 
Atletico Paranaense ni club yenye timu nyingi pamoja na ya wanawake, sasa yanga wanaweza wakawa wanacheza na mojawapo ya hizo labda hata ya wanawake.

kinachonishangaza hao lion ambao wamewaleta kwa nini wao hawachezi nao mechi? Ama kweli mjini shule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom