ATLEAST 160 DEAD AFTER 10 TALIBAN MILITANTS ATTACK AN AFGHAN ARMY BASE.

Hatari sana, dunia tupo kwenye vita na kila anayebweteka alifahamu hilo, kama hivi vita havijakufikia, ni muda tu, itabidi ujiandae maana vitakukuta hivi punde, hamna cha kujificha wala kulia lia, aidha urudi tumboni mwa mama yako au upigane, hamna pa kutokea.
Watu wamelishwa itikadi za kiajabu, wanashambulia kwa kujilipua lipua wenyewe kwanza.
 
Waliangushiwa mother of all boombs nikajua they have been wiped out but instead wameua almost twice ya waliouawa kwenye MOAB
 
Haya mazombi hata uwaue wangapi, watazidi kuogezeka tu. Hamna kitu hatari kama wapiganaji walioaminishwa itikadi za kidini. kwanza kuna sehemu nilisoma kwamba wanaoishi kwa amani na makafir eti wanatenda dhambi, kuishi na kafir bila kummalizia mbali ni dhambi, hivyo kwa kauli kama hizo, basi dunia ipo inakwenda kwenye Armageddon.
 
Hatari sana, dunia tupo kwenye vita na kila anayebweteka alifahamu hilo, kama hivi vita havijakufikia, ni muda tu, itabidi ujiandae maana vitakukuta hivi punde, hamna cha kujificha wala kulia lia, aidha urudi tumboni mwa mama yako au upigane, hamna pa kutokea.
Watu wamelishwa itikadi za kiajabu, wanashambulia kwa kujilipua lipua wenyewe kwanza.
Unayoyasema ni kweli ndugu yangu hapa Tz tumeshaingiliwa ingawa watawala hawapendi kutamka neno UGAIDI lakini ukweli ni wenyewe unaoendelea hata kama wakiwaita majambazi au whatever.

1.Ninachojiuliza hawa watu wanapigania nini ?!
2.Wamerithishwa imani ya kimungu kweli?!

Watu wote waache unafki wakemee jambo hili (ugaidi) kuanzia kwa mafunzo ya watoto
 
Waliangushiwa mother of all boombs nikajua they have been wiped out but instead wameua almost twice ya waliouawa kwenye MOAB
Waliouawa na MOAB walikuwa ni ISIS na hawa walio fanya hili shambulizi ni taliban, hatari sana hawa
 
Unayoyasema ni kweli ndugu yangu hapa Tz tumeshaingiliwa ingawa watawala hawapendi kutamka neno UGAIDI lakini ukweli ni wenyewe unaoendelea hata kama wakiwaita majambazi au whatever.

1.Ninachojiuliza hawa watu wanapigania nini ?!
2.Wamerithishwa imani ya kimungu kweli?!

Watu wote waache unafki wakemee jambo hili (ugaidi) kuanzia kwa mafunzo ya watoto

Political correctness inatumaliza.
 
Waliangushiwa mother of all boombs nikajua they have been wiped out but instead wameua almost twice ya waliouawa kwenye MOAB
But u know the MOAB was not intended to wipe them out(which is totally impossible), but rather to destroy the caves and the underground tunnels which were being used by the Daesh militants operating within that region.
 
This tells us that sometimes war does not pay.its time to use peaceful approach and any other strategy that will not lead to loss of life.
 
Ukiangalia makundi yote ya ki Gaidi eg Boko haram, All shabaab, All qaida, ISIS etc neno amani kwao ni kitendawili wasichokielewa na kukikubali.

Na Mara zote wanadai wanapigania imani yao, kwa hali hiyo tatizo si lao bali mapokeo ya imani yenyewe
 
Back
Top Bottom