Atlas Primary School - Madale, Dar

Atlas Primary School - Madale, Dar

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,496
Reaction score
2,750
Jamani kwa wale wote tulio na watoto katika shule hii ya Atlas, naomba kwa wale tuliopiga kelele sana kwa ishu ya usafiri tusaidiane tena kupiga humu jamvini ili mamlaka husika zisaidie...

Mimi nina watoto wawili katika shule hii, darasa la tatu na mwingine darasa la kwanza... Shule hii kitaaluma iko poa sana. Tatizo wanafeli sana ktk ishu ya usafirishaji wanafunzi.

Madereva wa shule hii hawana weledi ktk kazi zao, wenyewe kumuacha mtoto ubungo wakati alipaswa kushuka tcra cyo tatizo kwao.

Tumejaribu sana kuuelekeza uongozi wa shule hii kuhusu hili lakini naona wanatia pamba masikioni, baadhi ya magari yao ni mabovu, pia yako machache kiasi kwamba watoto wanapakatana.

Nimekwisha andika barua juu ya hili kwenda wizarani na nasubiria action yao dhidi ya shule hii. Watoto siwahamishi kwakua napenda mfumo wao wa ufundishaji ndiyo maana napambana wawe smart.
 
Atlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
 
mwanangu pia anasoma atlas ubungo.. magari yao wanajazana sana kiukweli.. niliwaambia pia hii sio sawa...

kwa mwanangu haimhusu maana hapandi ma bus sababu tunakaa karibu na shule huwa anaenda kwa miguu tu na dada wa kazi na kurudi kwa miguu... nawaonea huruma wanafunzi wanaokaa mbali
 
Atlas campus ya Madale madereva ni washenzi sijapata kuona,January Mimi namuhamisha kijana wangu,kwa haraka zao hajali kabisa vituo mlivyokubaliana kumchukua na kumshusha mtoto wanamshusha mwanangu Kwa Azizi Ali barabara ya 2 ways avuke mwenyewe tena jioni badala ya kuja kumshushia Pile!!? hawa jamaa ni jeuri sana
Sitaki kuja kulia kutokana na ujeuri wao acha nije nilie kwa mipango ya M/Mungu
Duuuh!!!
 
Nimependa unavyompenda mwanao
 
My dear mtoto anakaa kwa azizi ali unamleta madale? Mbona mbali sana si angeenda hata ya ubungo?
 
Jamani kwa wale wote tulio na watoto katika shule hii ya Atlas, naomba kwa wale tuliopiga kelele sana kwa ishu ya usafiri tusaidiane tena kupiga humu jamvini ili mamlaka husika zisaidie...

Mimi nina watoto wawili katika shule hii, darasa la tatu na mwingine darasa la kwanza... Shule hii kitaaluma iko poa sana. Tatizo wanafeli sana ktk ishu ya usafirishaji wanafunzi.

Madereva wa shule hii hawana weledi ktk kazi zao, wenyewe kumuacha mtoto ubungo wakati alipaswa kushuka tcra cyo tatizo kwao.

Tumejaribu sana kuuelekeza uongozi wa shule hii kuhusu hili lakini naona wanatia pamba masikioni, baadhi ya magari yao ni mabovu, pia yako machache kiasi kwamba watoto wanapakatana.

Nimekwisha andika barua juu ya hili kwenda wizarani na nasubiria action yao dhidi ya shule hii. Watoto siwahamishi kwakua napenda mfumo wao wa ufundishaji ndiyo maana napambana wawe smart.
Katika Report za wanafunzi walizopewa jana nimeona wamezungumzia ili la usafiri kwamba wameagiza gari zingine na wamebadilisha kampuni ya usafiri natumaini watajirekebisha.
 
Back
Top Bottom