Atlantic oil 5W-30 neoteric ultra VS Atlantic oil 5W-30 Quantum ultra

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
13,294
Reaction score
42,808
Atlantic ni kampuni ambayo Kwasasa inafanya vizuri Sana sokoni , Hii ni engine oil yenye viwango vya Hali juu na standard yake inafanaa na Castrol oil na liqui Molly

Watumiaji wengi wa magari ya kisasa Atlantic oil ndiyo oil wanayotumia hata mafundi na garage zao nyingi wanapendekeza hii oil....Kwa brand zote za oil hapa Tanzania Atlantic imekuwa kampuni ya Kwanza kutuletea toleo jipya ya QUANTUM ULTRA API - SQ / ILSAC GF-7A FULLY SYNTHETIC.
Tukumbuke huko nyuma tulikuwa tunatumia NEOTERIC ULTRA FULLY SYNTHETIC API - SP / ILSAC GF-6A ( brand zote za Tanzania zipo kwenye standard ya API SP / ILSAC GF -6A hakuna kampuni ambayo imefika kwenye standard ya API SQ / ILSAC GF - 7A isipokuwa Atlantic pekee)

Kwa wasiojua ILSAC ni committee inayojihusisha na idhibiti na ubora wa viwango vya oil kwa watengenezaji oil duniani na APi ni American petroleum institute hii ni taasisi ya kimarekani inayowakilisha makampuni yote ya uchimbaji gesi na mafuta.

Nimewahi kutumia Castrol oil 5W-30 EDGE fully synthetic/ C-3 Kwa safari ndefu lkn bado Kwa viwango vya Atlantic 5W-30 Quantum ILSAC GF-7A ni far better Kwa kampuni zote za oil TANZANIA, Kwasasa nafurahia Sana fuel consumption iliyopo kwenye gari alafu gari imekuwa smooth mno pia hata mlio wake umekuwa standard sanaaa

Kwa wale wenye hybrid car jaribuni hii brand najua mtakuja kunipigia simu za shukran
 
Attachments

  • IMG_20260127_085449.jpg
    IMG_20260127_085449.jpg
    616.1 KB · Views: 10
  • IMG_20260127_090825.jpg
    IMG_20260127_090825.jpg
    505.4 KB · Views: 11
Atlantic ni kampuni ambayo Kwasasa inafanya vizuri Sana sokoni , Hii ni engine oil yenye viwango vya Hali juu na standard yake inafanaa na Castrol oil na liqui Molly

Watumiaji wengi wa magari ya kisasa Atlantic oil ndiyo oil wanayotumia hata mafundi na garage zao nyingi wanapendekeza hii oil....Kwa brand zote za oil hapa Tanzania Atlantic imekuwa kampuni ya Kwanza kutuletea toleo jipya ya QUANTUM ULTRA API - SQ / ILSAC GF-7A FULLY SYNTHETIC.
Tukumbuke huko nyuma tulikuwa tunatumia NEOTERIC ULTRA FULLY SYNTHETIC API - SP / ILSAC GF-6A ( brand zote za Tanzania zipo kwenye standard ya API SP / ILSAC GF -6A hakuna kampuni ambayo imefika kwenye standard ya API SQ / ILSAC GF - 7A isipokuwa Atlantic pekee)

Kwa wasiojua ILSAC ni committee inayojihusisha na idhibiti na ubora wa viwango vya oil kwa watengenezaji oil duniani na APi ni American petroleum institute hii ni taasisi ya kimarekani inayowakilisha makampuni yote ya uchimbaji gesi na mafuta.

Nimewahi kutumia Castrol oil 5W-30 EDGE fully synthetic/ C-3 Kwa safari ndefu lkn bado Kwa viwango vya Atlantic 5W-30 Quantum ILSAC GF-7A ni far better Kwa kampuni zote za oil TANZANIA, Kwasasa nafurahia Sana fuel consumption iliyopo kwenye gari alafu gari imekuwa smooth mno pia hata mlio wake umekuwa standard sanaaa

Kwa wale wenye hybrid car jaribuni hii brand najua mtakuja kunipigia simu za shukran
Bei inaendaje mkuu, ucsahau lile ombi 🙏
 
Wewe sema tu Atlantic ni oil nzuri ila usiifananishe na Liqui Moly. Acha kabisa.
Liqui Molly sijawahi kutumia kabisaa ila kwanini magari mengi ya Europe wanapendekeza Castrol oil tena unakuta imeandikwa kwenye mfuniko wa engine.
 
Back
Top Bottom