Atishia kuharibu maumbile ya mumewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atishia kuharibu maumbile ya mumewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jun 17, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]MWANAMKE aliyepewa talaka akiwa safari alierushwa katika mtandao huu wiki mbili zilizopita amerejea nyumbani na kutoa onyo kali kwa mumewe huyo kwa kitendo chake cha kumdhalilisha huku akitishia kumuharibu kiungo cha uzazi endapo atarudia tena kitend[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mwanamke huyo alimtishia mumewe huyo aliporejea jijini Dar es Salaam wiki iluiyopita na kukaririwa na mmoja wa jirani zake kuwa akirudia tena kumdhalilisha atamchukulia hatua ambayo hataisahau maishani mwake

  Imedaiwa mwanamke huyo alipowasilui nyumbani kwake hapo kutoka mkoani Pwani kwenye shughuli za utamaduni aliendelea kupinga talaka aliyopewa na mumewe huyo na kugoma kuondoka katika nyumba hiyo

  Hata hivyo mume huyo alimtaka mke huyo kukubalina na maamuzi yake kwani kitendo alichokifanya hataweza kuvumia kwa kuwa alimtahadharisha kabla hawajafunga ndoa

  “Mimi sikubaliani na talaka zako, sioni kosa, hata hivyo mume alionekana kutokummudu mwanamke huyo na kuonekana kuzidiwa na mwanamke huyo aliendelea kuishi humo huku akipinga talaka hiyo

  Chanzo cha habasri kilidai kuwa mwanamke huyo alimtishia mumewe huyo kuwa endapo kama atarudia tena kitendo cha kumdhalilisha atamfanyia kitendo ambacho hataweza kukisahau maishani mwake

  “Nitakachofanya mimi, si dhani kama ataweza kuoa tena ,yeye si mwanaume, alisema mwanamke huyo kutishia maisha ya mwanaume huyo

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...