Ati Msingi Kiuno

Hao wakata viuno wanapatika wapi????????? weka na bei nataka mmoja anaejua kukata haswaaa
 


Usiwalaumu kina Mama kwa hili kwani wanaume wengi hawajuwi kumfikisha mwanamke kileleni kisawsawa. Wengi wao wana mapenzi ya kijeshi, yaani kamata tia kisha unaondoka kutafuta mwingine wa kukamata na kutia huku uliowaacha nyuma hawajaridhika na wewe hata kiduchu. Kwetu sisi tunafundishwa huu mchezo jandoni na I am so proud to be who I am maana mhhhhhhh, haka kamchezo katamu na ukimpinda demu sawasawa haki ya nani hata wewe mwenyewe utafurahi kwani kuna chemistry fulani between yako na huyo demu....yaani raha tupu. In short ukiona mwanamme yeyote anayependa sana kukimbiza mademu basi huyo kuwa na mashaka naye, huo jamaa lazima atakuwa ni msanii na si mchezaji ukweli.
 
mshanajr ndio umejua leo...? wapo Mario ambao wanapendwa kuwekwa kinyumba na wakina mamá wenye pesa zao na pia wako anaowazungumzia kaka mshanajr wako wanajiuza kama hawa dada zetu....
 
Last edited by a moderator:
nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake
Thank u for this analysis! Kiukweli wengi sio wanaume ila WA KIUME!
 
nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake

Hii ndiyo POINT muhimu!
 
mshanajr ndio umejua leo...? wapo Mario ambao wanapendwa kuwekwa kinyumba na wakina mamá wenye pesa zao na pia wako anaowazungumzia kaka mshanajr wako wanajiuza kama hawa dada zetu....

kabanga sahihi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…