Ati Msingi Kiuno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Ukiacha yale makabila yanayofanya jando na unyago kwa ajili ya kutimiza mila na desturi, yapo ambayo unyagoni mabinti hufundishwa kwa ufasaha kabisa namna ya kuzungurusha nyonga yake ili amridhishe mwanaume.

Wapo mabinti wanaishi maisha mazuri sana kisa kiuno, Lakini cha kushangaza siku hizi wapo vijana wa kiume nao wamefanya viuno vyao mtaji, si wacheza shoo, bali ni wazinzi.

Wanafanya ngono na akina mama wenye uhitaji kwa malipo maalum ni machangu wa kiume ila hawajulikani sana na wanafanya kwa siri sana.
 

[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]
 
Mmmh kwahyo ndo tuwaiteje hao wakiume?
 
kidume anakata mauno kivipi yaani huku akiwa ameinama au vipi
 
Hivi wanakata kama Rare watts sijui ndo enomizizi.
Yule mutu ni balaa.
 
Thread gani hii sasa unataka wanaume wanaojiuza nao wapewe majina mengi wanawake machangu na wanaume si mashoga ila sijaipenda...
 

Mkuu kweli dunia imebadilika. Eti sasa imefikia wakati mwanamke anamlipa mwanaume ili ashugulikiwe..
 
Thread gani hii sasa unataka wanaume wanaojiuza nao wapewe majina mengi wanawake machangu na wanaume si mashoga ila sijaipenda...

huwa unapendaga za aina gani? au nawe ni mdau?
 
Mkuu kweli dunia imebadilika. Eti sasa imefikia wakati mwanamke anamlipa mwanaume ili ashugulikiwe..

nashukuru wewe umenielewa kuwa namaanisha nini, shida ni kwamba wanaume ni wachache wanawake ni wengi, na kati ya hao wachache wengi wao hawana nguvu za kiume au hawana uwezo wa kuwaridhisha wanawake
 
Thread gani hii sasa unataka wanaume wanaojiuza nao wapewe majina mengi wanawake machangu na wanaume si mashoga ila sijaipenda...
Jina sio Mashoga.

Wanauliza wanaume wanaojiuza kwa wanawake wakubwa wenye pesa ili kuwafurahisha kimapenzi waitweje?
 
Hii iko poa sana ni kujituma tu now days haki sawa kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…