Basi ndio sababu binti analitumia sana, kama mkeo ana tabia ya kutumia vibwagizo fulani, ni rahisi sana watoto kuiga.Lakini mkuu, neno 'inategemea' linaporudiwa huwa linakera sana. Naona hata wife analitumia mara kadhaa, labda ndiyo maana nikilisikia huwa nakereka tu.
Sasa nimeamini kuwa usipoziba ufa utajenga ukuta.Basi ndio sababu binti analitumia sana, kama mkeo ana tabia ya kutumia vibwagizo fulani, ni rahisi sana watoto kuiga.
Ndiyo!Ushanifahamu
Tutakaribia mkwelima, bora turudie miaka yetu ya 47 kuchagulia wake/waume vijana wetuKaribu nyumbani Mzee mwenzangu. Binti yangu nikiwapa wala sitakuwa na mashaka kabisa.
Hiyo ni nzuri sana Mzee mwenzangu. Sisi wazee tukishajuana na kuaminiana basi itapendeza watoto wetu wakioana kama ilivyokuwa miaka ya 47 kule.Tutakaribia mkwelima, bora turudie miaka yetu ya 47 kuchagulia wake/waume vijana wetu
Nahisi itasaidia kupunguza hizi talaka zinazotolewa kama njugu miaka hii
"Inategemea; hicho sio kiswahili kizuri kwa swali kama hilo, labda angeulizwa utaenda kunyoa au kusuka!?eeh itategemea kana hajapata hela je? kana kazi zitakua nyingi akakosa muda? au umeme ukikatika😀😀
Umeweka vizuri mkuu.labda angeulizwa utaenda kunyoa au kusuka!?
me kwangu iko sawa tu"Inategemea; hicho sio kiswahili kizuri kwa swali kama hilo, labda angeulizwa utaenda kunyoa au kusuka!?
Kumbe ni hizo chats?Nilitaka nijue kilichofanya siku ile mpigwe ban.
Sijui hata.Kumbe ni hizo chats?