Ati, "inategemea". 🤮

Watajuana wao
 
Inategemea, ina maanisha jambo lipo 50/50 kwamba kuna mazingira yanaweza kupelekea yeye kwenda saluni ama kutokwenda.

BTW, nikupe hongera kukuza

Kama hautajali, tuanze kuitana mkwelima.

Kijana wangu wa kwanza, anatafuta mke huu mwaka wa 4 anasema bado hajapata chaguo sahihi

Ngoja nitafute Wazee wenzangu tuje kuyajenga, tupo radhi kusubiri miaka 7 ijayo hadi binti amalize shahada yake ya kwanza

Good morning 🥂
 
Karibu nyumbani Mzee mwenzangu. Binti yangu nikiwapa wala sitakuwa na mashaka kabisa.
 
bwege ndege Bado upo? 😄
 
Hivi yule jamaa aliyeweka zile screenshot ni nani mkuu? Nimesahau 🆔 yake.
 
Alimaanisha hakukuelewa umeuliza au umemwambia ndio maana akajibu inategemea jibu litabadilika kullingana na uhalisia wa swali!

"Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?"
 
Alimaanisha hakukuelewa umeuliza au umemwambia ndio maana akajibu inategemea jibu litabadilika kullingana na uhalisia wa swali!

"Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?"
Nilimwelewa, lakini nilikereka mtoto mdogo kama yeye kunijibu kwa mkato. Heshima imeshuka kama chupi ya malaya wa kimboka.
 
Hapo ni 50/50. Kuna uwezekano asinine kwa sababu fulani, au anyone kama unavyotaka.

Hongera kwa kuwa na binti wa form 4 mkuu, umekuza.
Lakini mkuu, neno 'inategemea' linaporudiwa huwa linakera sana. Naona hata wife analitumia mara kadhaa, labda ndiyo maana nikilisikia huwa nakereka tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…