secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,068
- 42,859
eeh itategemea kana hajapata hela je? kana kazi zitakua nyingi akakosa muda? au umeme ukikatika😀😀
Maisha ni kusaidiana.Ungeenda unyoe badala yake.
Binti mdogo kama yule ananipa mimi Mzee majibu ya mkato?!eeh itategemea kana hajapata hela je? kana kazi zitakua nyingi akakosa muda? au umeme ukikatika😀😀
Eti, "inategemea". Dah!Anamaanisha kuna sababu zinaweza kusababisha aende au asiende.
#Mengine Yawapite Tu
Hawa watoto bhana!Maisha ni kusaidiana.Ungeenda unyoe badala yake.
NB;Bangi itumike kwenye kahawa tu.
Una bahati sana.Ukimtibua zaidi atakufukuza hapo mnapoishi uende kwa mama yako.Hawa watoto bhana!
Eti, "inategemea", huku anatafuta Big G.Ungemuuliza na wewe hivi "Inategemea na nini? Kwamba mpaka uitishe kikao cha bodi na shareholders wa hicho kichwa ndo upate majibu?
Siku hizi ninahuruma sana. Miaka ya mwanzoni mwa 2010 nilikuwa kama mbogo.Una bahati sana.Ukimtibua zaidi atakufukuza hapo mnapoishi uende kwa mama yako.
tulia mzeeeBinti mdogo kama yule ananipa mimi Mzee majibu ya mkato?!
Ama kwa hakika nimekaa tamaa ya kuishi...
Inategemea. 😎tulia mzeee
Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.Kivipi tena mimi ni mume mwenza?
Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.
Ameanza na Neno kuwa "Seran , achana na yule bwege ndege.... " ikaishia hapo. Ila ilikuwa inaendelea.
Kama hukuiona, basi Mwenye nayo ataiweka uione.
Ila Mume mwenzio anakasagia kunguni balaa.
NB: Natania.
ila screenshot iko ya Yeye 11 akikusagia kunguni.