Emmanuel J. Buyamba
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,167
- 651
Kwa hiyo unataka mimi tu ndiyo niwe nakujibu vijimaswali twako ila ya kwangu hutaki kujibu,sifanyi biashara hiyo.hahahahaaha ndio mnavokimbiaga eehhh,... koo huwez kuthibitisha tanzania ilipata uhuru mwaka 1961..ahahahha whenever complex questions are presented always there is a very simpleeee answer..
Don't be cheap like a prostitutour.
You are seems to be a parasite indeed, lather than being comensal or being in mutualism system with me.
Hata malaya wa kike anapoomba pesa huwa kuna huduma fulani anatoa,wewe unataka kuwa wa hovyo kuzidi watu hao.
Ulianza na habari za vyanzo vya dunia,nikakujibu.
Ukaja na mambo ya lazima vitu vina mwanzo,nikakujibu.
Ukaleta habari za Yesu kutembea juu ya maji,nikakujibu.
Ukaja na roho mara mind,napo nikakujibu.
Na mengine kadha wa kadha.
Ukaanzisha tena habari za uhuru wa Tz huku ukitaka mimi nikuthibitishie, wakati unajua nimeshakukosoa hiyo tabia ya kumwambia mtu athibitishe kitu ambacho wala hajishughulishi nacho.
Hivi aliyeleta habari za 1961 ni nani kati yangu na wewe?
Kwa nini unanitaka mimi nizithibitishe badala ya wewe mwenyewe kuimaliza show uliyoileta?
Unaelewaje iwapo kweli nakubaliana na hizo habari za Tz kupata uhuru 1961?
Au ndiyo zile akili zenu za kupiga punyeto huku mkitarajia kumbebesha mtu mimba?.Umegonga mwamba!.
Sasa sitaandika maelezo tofauti mpaka pale utakapothibitisha uwepo wa huyo mnayemuita Mungu wenu,mjuzi wa yote,muweza yote na mwenye upendo mwingi kwenu,kiasi cha kuwaletea eti mkombozi afe kwa ajili yenu ilihali alikuwa na uwezo wa kutamka tu na ikawa.
Non sense story!!.
Otherwise kubali umeshindwa kuthibitisha,sababu Mungu huyo hayupo!.