leo ukiamua kuenda au kutoenda kanisani au msikitini hujabadili chochote alichokiona mungu kwasababu hakuna kipya kitachofanyika ambacho yeye hakukijua kabla kwasababu ya uhuru alokupa ufanye utakavyo mana hakupangii ufanyee jema au baya.At least saizi umejaribu kujibu
Kwaiyo leo ukiamua kuenda au kutoenda kanisani au msikitini hujabadili chochote alichokiona mungu kwasababu hakuna kipya kitachofanyika ambacho yeye hakukijua kabla kwasababu hauna uhuru wa kubadili chochote kiwe unavyotaka mpaka upangiwe na mungu siyo??
Hio Sio Sababu ya kutokuwepo kwake. Yeye sio kiumbe ndio manaa hafikiri ndani ya milango ya fahamu. Angekuwa kiumbe angekosa sifa ya Mungu, ungeuliza kaumbwa na nani basi 😀Ndio Kwasababu hayupo
Utakua hujapanga kwasababu huna ujuzi wote na uwezo wote wa kupanga vitu vitakavyotokea 100%. Pengine hilo tukio la mtoto kuzima tv ulianza kubashiri baada ya kumuona mtoto ameshika remote au anaisogelea Tv, lakini mungu alikwisha jua tukio hilo litatokea hata kabla wewe hujazaliwa na ndio maana wewe na huyo mtoto hamkuweza kuliepuka kwasababu lilishapangwa kua litatokeaKujua sio kupanga. Mfano, unaweza kumuona mtoto ukasema "huyo atazima tv saivi" Akiizima TV manake wewe umepanga?
Naama theist mnakimbia maswali, kazi yenu kuruka ruka tu. kama umejibu kupitia swali, basi jibu la swali lako ni hili:Mwanzo ulianza kulalama kua atheist wanakimbia maswali, nilipokuuliza swali ukakimbia kulijibu kwa kusema unajibu kwa mtindo wa kuuliza swali
Sasa namimi nikikwambia nimekujibu kwa mtindo wa swali utakubali?
Stupid comment i never read before.Mshahara wa dhambi ni mauti ni mtoto mdogo kazaliwa na kufa kapata mshahara wake kwa dhambi ipi aliyoifanya....?
Hivi pale edeni simba nae alikula tunda maana naye anakufa wakati aliykula tunda na mwanadam
Aaah kwanza inachosha vingine ni uchwara tu
Mungu hakunaga kitu kama hicho popote pale
Lengo la kukuuliza ilo swali, nataka ujue tofauti ya kupanga na kujua. Mungu mjuzi wa yote anajua kama wewe utasali au la kabla ya kukuumba, kwa sababu yeye ndio mmiliki wa ulimwengu na anawajua viumbe wake. Elimu yake haina mfano.Utakua hujapanga kwasababu huna ujuzi wote na uwezo wote wa kupanga vitu vitakavyotokea 100%. Pengine hilo tukio la mtoto kuzima tv ulianza kubashiri baada ya kumuona mtoto ameshika remote au anaisogelea Tv, lakini mungu alikwisha jua tukio hilo litatokea hata kabla wewe hujazaliwa na ndio maana wewe na huyo mtoto hamkuweza kuliepuka kwasababu lilishapangwa kua litatokea
Haya nijibu namimi swali langu
No sweet comes without striveUnajichosha kuswali ili iweje kumbe majibu Mungu wako anayo ?kumbe Mungu wako ndio anaamua wa motoni au wa peponi wala sio matendo yako
Uhuru unakujaje kwenye vitu ambavyo haviepukiki?leo ukiamua kuenda au kutoenda kanisani au msikitini hujabadili chochote alichokiona mungu kwasababu hakuna kipya kitachofanyika ambacho yeye hakukijua kabla kwasababu ya uhuru alokupa ufanye utakavyo mana hakupangii ufanyee jema au baya.
Uhru unakuja ukiwa hujapangiwa na kulazimishwaUhuru unakujaje kwenye vitu ambavyo haviepukiki?
Naama theist mnakimbia maswali, kazi yenu kuruka ruka tu. kama umejibu kupitia swali, basi jibu la swali lako ni hili:
Ndio naweza kumuadhibu mtoto ikiwa nimemuekea mazingira makusudi ya kutenda kosa. Mfano, naweza kueka mazingira kuona kama je mtoto wangu wa kike atafanya zinaa au la baada ya tayari nishamwambia kuwa ukifanya zinaa nitakuchapa. Akifanya basi nitamchapa. Kwenye uislam hio tunaita MITIHANI, unajipima je unaweza?
Sasa na wewe utanijibu au ndio utaruka kwenda kwengine?
Naama theist mnakimbia maswali, kazi yenu kuruka ruka tu. kama umejibu kupitia swali, basi jibu la swali lako ni hili:
Ndio naweza kumuadhibu mtoto ikiwa nimemuekea mazingira makusudi ya kutenda kosa. Mfano, naweza kueka mazingira kuona kama je mtoto wangu wa kike atafanya zinaa au la baada ya tayari nishamwambia kuwa ukifanya zinaa nitakuchapa. Akifanya basi nitamchapa. Kwenye uislam hio tunaita MITIHANI, unajipima je unaweza?
Sasa na wewe utanijibu au ndio utaruka kwenda kwengine?
[emoji3][emoji23]asilimia 96 ya athest ni mashoga sasa sijui kiranga yupo group gani?
Vile vile uhuru unakuja ikiwa mungu hajui nacho taka kuchaguaUhru unakuja ukiwa hujapangiwa na kulazimishwa
Haingii akilini mtoto wa darasa la pili kuadhibiwa kwa kosa la kufeli mathematics form six. Vile vile Mungu wetu hampi mtu adhabu ikiwa jambo fulani hakulijua ama hakuupata ujumbe. Lakini tambua kuwa, mfano ulioutoa hauendani na jibu nlilokupa.Utamuadhibu kwa kosa ulilopandikiza wewe kwa fitna zako ili alifanye??
Kama kosa likifanyika lazima ashurutishwe aliuefanya hilo kosa basi hata wewe kwa kufanya kosa la kutengeneza kosa kwa makusudi huku ujijua wazi kua ni kosa na target victim hawezi kuepuka basi ni lazima ushurutishwe vile vile, kwasababu pasipo kufanya hilo kosa huyo binti asingefanya kosa
Sasa hapo kati ya wewe na mtoto nani kafanya kosa?
Itakuingia akilini mtoto wako wa darasa la pili kuadhibiwa na mwalimu kwa kosa la kufeli mtihani wa mathematics form six kwa kigezo kwamba alipewa ili kupima uelewa wake wakati alikwishajua kua hatafaulu mtihani ule???
Freedom "the power or right to act, speak, or think as one wants. " Na Allah ametupa huo uhuru.Vile vile uhuru unakuja ikiwa mungu hajui nacho taka kuchagua
Kiumbe kina sifa gani ?Hakuna kisicho kiumbe, hivi haya mambo si yapo pre form one
Hujasoma livings things and non livings things eti?
Freedom "the power or right to act, speak, or think as one wants. " Na Allah ametupa huo uhuru.
Kitendo cha mtu kujua nini utafanya hakiondoi uhuru wako.
Kikiwa hai au kisipokua hai?Kiumbe kina sifa gani ?
Kuna kiumbe kisicho hai ?Kikiwa hai au kisipokua hai?
Kitendo cha mungu kujua nini nitafanya na kwakujua huko kukawa hakuwezi kubadilishika kwenda tofauti basi hapo hakuna uhuru
Haingii akilini mtoto wa darasa la pili kuadhibiwa kwa kosa la kufeli mathematics form six. Vile vile Mungu wetu hampi mtu adhabu ikiwa jambo fulani hakulijua ama hakuupata ujumbe. Lakini tambua kuwa, mfano ulioutoa hauendani na jibu nlilokupa.
Ona nlichokwambia;
Mfano, naweza kueka mazingira kuona kama je mtoto wangu wa kike atafanya zinaa au la
baada ya tayari nishamwambia kuwa ukifanya zinaa nitakuchapa .Sasa kupitia mfano wako, mtoto huyo ulimsomesha izo hesabu za form six? hata umuadhibu?
Allah anasema katika surat Israa aya ya 15; Anaye ongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anaye potea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. (184, 49, 47)]Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke Mtume.