Mbona nilishakupa andiko kuhusu hao mitume 12 wa Yesu mpaka ukauliza Yakobo wa Zebedayo ni nani au unaugonjwa wa kusahau ? Nilikupa mathayo 10:1- 3 tunarudia kitu kimoja mda wote
1. Lugha ina maaana pana lakini fani ni sehemu iliokusudiwa ndio maana unapata tabu unapoambiwa SEMEN( shahawa) imeundwa na nini ? ujui chochote kuhusu Seminal fluid lazima uangaike sio kosa lakoLugha ndio huanza na maana ya kilugha ina uwanja mpaka kuliko maana ya kifani.
Rudi kasome na ujue kwamba lugha inahukumu pia.
Kaka Kiswahili gani kimetarjumu kwamba SEMEN ni Shahawa na SPERM ni manii
Usiweke maana zako hapa,ninukulie toka Kamusi ya Kiswahili na Kiingereza.
Hapa nimekuwekea kiporo cha kuja kumalizia mjadala juu ya tamko "MADHII".
Hili jambo limekuzidi umri mzee,achana nalo mpaka siku ukipata ushahidi uliweke hapa.
Nakupa faidia sasa tafuta kitabu "Aslu Shia", tafuta "Usul al Kafi",tafuta kitabu "Furu'i al Kafi" vyote vya Kishia kisha usome sio unaandika mambo usio kuwa na elimu nayo na kupotezea watu muda hapa.
Nacheka sana,wewe hata ukatae huwezi kubadilisha ukweli nilio uweka hapa. Kwahiyo ukikataa ni juu yako.
Namaliza mjadala sasa hivi.
2.Nimeshakwambia Nenda OXFORD living Dictionary kiswahili na kiingereza mbona jambo lipo wazi kule , wenye kiingereza chao wameweka Wazi SPERM sio SEMEN , mbona uelewi jambo dogo hili
Nani alikwambia kuna mtu wa mwanzo ?watu wapo kama walivyo hakuna wa mwanzo wala wamwisho
Thibitisha mzee.Nani alikwambia kuna mtu wa mwanzo ?watu wapo kama walivyo hakuna wa mwanzo wala wamwisho
Nimekupa rejea kasome Mathayo 10:1-3 kama kuna sehemu ujaelewa utarudi humu , siwezi rudia jambo moja mda wote halafu post nyingi zimepita ila andiko ni iloItakuwa nimesahau,niwekee tena au nirudishe kwenye hiyo post.
Nithibitishe kitu gani wakati wewe ukimuingilia mkeo ndipo mtoto upatikana , mtu wa mwanzo na wa mwisho hakuna,Thibitisha mzee.
Hivi wewe umeelewa kilichoandikwa hapo kweli mbona jambo lipo wazi sanaView attachment 1224870View attachment 1224874View attachment 1224875
Siku nyingine tuheshimiane,nyinyi kama hamsomi na tukiwapuuza sio kwamba tunawakimbia au vipi,yaani huwa tunawaona nyinyi ni wajinga.
Hakuna tofauti kati ya Shahawa na Manii.
Swali langu bado liko pale pale. Maandiko yametumia tamko wanafunzi na tamko utume. Lakini hayajaonyesha huo utume waliupata wapi na vipi na je binadamu anatoa utume ?Nimekupa rejea kasome Mathayo 10:1-3 kama kuna sehemu ujaelewa utarudi humu , siwezi rudia jambo moja mda wote halafu post nyingi zimepita ila andiko ni ilo
Sasa ndio utuambie umejuaje ya kuwa mtu wa mwanzo hakuna ? Usiwe mjinga kiadi hicho na utuambie umejuaje ya kuwa hakuna mtu wa mwisho ?Nithibitishe kitu gani wakati wewe ukimuingilia mkeo ndipo mtoto upatikana , mtu wa mwanzo na wa mwisho hakuna,
Hili mbona liko wazi ili mtu apatikane ni lazima mbegu zirutubishwe kwenye yai , sasa mtu wa mwanzo nani amemuingiza mwenzie mbegu wakati yuko peke yake ata hili uelewiSasa ndio utuambie umejuaje ya kuwa mtu wa mwanzo hakuna ? Usiwe mjinga kiadi hicho na utuambie umejuaje ya kuwa hakuna mtu wa mwisho ?
Suala la mimi kumuingilia mke wangu na kupata mtoto ni matokeo sasa rudi nyuma mpaka pale ambapo ilikuwaje mpaka sisi tukawepo ? Hili swali ndio mwenzako analikimbia mpaka muda huu na wewe ndio wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa na hakuna atake weza kujibu swali hilo.
Namaliza mjadala sasa. Weka kilichonukuliwa katika hiyo Kamusi inayo onyesha utofsuti kati ya Manii na Shahawa.Hivi wewe umeelewa kilichoandikwa hapo kweli mbona jambo lipo wazi sana
MANII : seli za gameti za kiume zilizopevuka
SHAHAWA: Giligili ambazo hutolewa kutoka kwenye tezi katika pumbu na gameti za kiume
hivi unajua kweli kusoma DICTIONARY au ndio umevamia , Shahawa ina giligili na gameti za kiume( manii) ahahahahahahajahaaha wewe jamaaa sifuri kagua vizuri kamusi sio unacopy bila kuelewa inasomwaje
Yesu alikuwa na wanafunzi wengi tu kama ni msomi wa biblia ila katika hao akachagua 12 akawapa utume , Yesu ni Mungu akitoa utume anatoa kama hapo alivyotoa , Yesu ni mwanzo na mwisho alpha na Omega unauliza maswali gani hayo ya kitotoSwali langu bado liko pale pale. Maandiko yametumia tamko wanafunzi na tamko utume. Lakini hayajaonyesha huo utume waliupata wapi na vipi na je binadamu anatoa utume ?
Andiko hili hapa :
Basi akawaita wanafunzi wake 12 na kuwapa mamlaka ya kuwafukuza roho waovu+ na kuponya kila aina ya ugonjwa na kila aina ya udhaifu.2 Haya ndiyo majina ya wale mitume 12:+ Simoni, aitwaye Petro,+ na Andrea+ ndugu yake; Yakobo na Yohana+ wana wa Zebedayo; 3 Filipo na Bartholomayo;+ Tomasi+ na Mathayo+mkusanya kodi; Yakobo mwana wa Alfayo; Thadayo; 4 Simoni Mkananayo;* na Yuda Iskariote, ambaye baadaye alimsaliti.+
Ndio utuonyeshe sasa kwanini hakuna mtu wa mwanzo,tatizo hamfikirii embu jaribu kujiuliza je hakuna mtu wa mwanzo na hawa mababu zetu mpaka huko mwisho ilikuwaje wakatokea ?Hili mbona liko wazi ili mtu apatikane ni lazima mbegu zirutubishwe kwenye yai , sasa mtu wa mwanzo nani amemuingiza mwenzie mbegu wakati yuko peke yake ata hili uelewi
Unaambiwa kabisa hii ni giligili na hii ni seli halafu unasema kitu kimoja wewe jamaa kasome tena , unatia mashaka kweliNamaliza mjadala sasa. Weka kilichonukuliwa katika hiyo Kamusi inayo onyesha utofsuti kati ya Manii na Shahawa.
Maana ya mkato katika kamusi humaanisha "au" kwa matamko yenye kufuatana.
Ulipoandikiwa "Semen,manii,shahawa" na ulipoandikiwa "Sperm,manii,sahawa" maana yake ni "Semen au manii au shahawa" na "Sperm au manii au shahawa" maelezo yaliyoongezeka ni ziada ya ufafanuzi.
Nakufundisha sasa.
Tatizo mnalazimisha mambo watu wapo kama walivyo hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , ili tupate mtu mbegu lazima zifike kwenye yai, sasa.mtu wa mwanzo mbegu zilifika kwenye yai la kuku au njiwa acha porojoNdio utuonyeshe sasa kwanini hakuna mtu wa mwanzo,tatizo hamfikirii embu jaribu kujiuliza je hakuna mtu wa mwanzo na hawa mababu zetu mpaka huko mwisho ilikuwaje wakatokea ?
Wewe unafaa kupigwa viboko.
Kijana unapata tabu sana,unaona kuwa ni wajinga walivyoambatanisha manii na shahawa katika mzizi wa maana huko juu ? Hivi hujiulizi tu hilo au mpaka nikusaidie kufikiri ?Unaambiwa kabisa hii ni giligili na hii ni seli halafu unasema kitu kimoja wewe jamaa kasome tena , unatia mashaka kweli
Kwenye SPERM chini kuna neno ATOZOA pale chini manii imeekwa peke yake , nakutolewa maana yake kuwa
Manii- ni seli za gameti za kiume zilizopevuka , hii ndio maana yake sasa vip seli iwe giligili tena ? muwe mnajifunza kwa kuelewa sio kukariri
Bado hujatuonyesha hilo jambo.Tatizo mnalazimisha mambo watu wapo kama walivyo hakuna wa mwanzo wala wa mwisho , ili tupate mtu mbegu lazima zifike kwenye yai, sasa.mtu wa mwanzo mbegu zilifika kwenye yai la kuku au njiwa acha porojo
Kwahiyo una kubali ya kuwa kuna mwanzo sio ?Yesu alikuwa na wanafunzi wengi tu kama ni msomi wa biblia ila katika hao akachagua 12 akawapa utume , Yesu ni Mungu akitoa utume anatoa kama hapo alivyotoa , Yesu ni mwanzo na mwisho alpha na Omega unauliza maswali gani hayo ya kitoto