Unauliza maswali ya kitoto sana.Kwahiyo AYA ndio uthibitisho kuwa Mungu yupo ,na mimi nakupa AYA kuwa YESU kasulubiwa utakubali hilo jambo ?
Uoga jambo baya sana na humfanya mtu kuwa mjinga zaidi.Kivipi ni jibu maswali ambayo hayanihusu??
Unauliza maswali ya kitoto sana.
Weka aya hiyo kisha uthibitishe ukweli wa habari hiyo,na mimi nitakupa aya kuonyesha hakusulubiwa na nitakupa uthibitisho wa ukweli wa ninacho kisema.
Twende kazi. Anza kisha namaliza.
Mathayo 28:5-8Unauliza maswali ya kitoto sana.
Weka aya hiyo kisha uthibitishe ukweli wa habari hiyo,na mimi nitakupa aya kuonyesha hakusulubiwa na nitakupa uthibitisho wa ukweli wa ninacho kisema.
Twende kazi. Anza kisha namaliza.
hali halisi we unaijuaje
Haya maswali ulitakiwa kuuliza baada ya kujibu maswali yangu.nikakazia, nini kimekufanya ufikiri kua ni lazima tuwe tumeumbwa?? Kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo??
Sijaacha hata swali moja.utoto huu we hujaufanya??
Jibu swali upate kujua jibu lako
Na mimi siachi kukujibu swali hata moja na mimi siendi mbele mpaka ujibu maswali yangu.Leo siachi kitu na quote hadi porojo za mlevi
Nimeshakwambia hali halisi. Na uhalisia ndio aya yenyewe.Aya utaipimaje kujua ni kweli??
mtu anaye jinadi kua yeye sio muoga au kuita wengine waoga mara kwa mara mtu huyo ni muoga sana.Uoga jambo baya sana humfanya mtu kuwa mjinga zaidi.
Mimi mtuWewe sio mwanadamu?
Kwani chanzo kina umuhimu wowote ili kitu kiwepo??Wewe huna chanzo?
Kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo??Wewe umejiumba?
maswali yametoka kwenye kitabu cha imani tena waisilamu inamaana hata mkristo tu hakimuhusu, utaniambieje mimi kua yananihusuSasa vili useme yale maswali hayakuhusu?
Navyokanusha mungu hayupo nakua Nakanusha hadi hizo riwaya kua zimeandika uwongoWewe si unakanusha uwepo wa Mola ? Au leo unajikana ?
Nasema hivi hatuendi mbele mpaka ujibu maswali niliyo kuuliza.
Naijua kwa yenyewe kuanza kutangulia na kuwepo.
hilo sio jukumu lako, huwezi nipangia kipi kianze kipi kifateHaya maswali ulitakiwa kuuliza baada ya kujibu maswali yangu.
unakumbuka nilivyokuuliza uthibitishe mungu yupo hukujibu ila ukauliza swali?? Unalikumbuka swali ulilouliza?Sasa jibu maswali yangu kisha ndio uulize maswali yako na mimi nakujibu,sababu nimechagua hilo na sitaacha kujibu hata swali moja na mkiona sijajibu mnikumbushe.
Sijaacha hata swali moja.
Na mimi siachi kukujibu swali hata moja na mimi siendi mbele mpaka ujibu maswali yangu.
Hali halisi unaipimaje?Nimeshakwambia hali halisi. Na uhalisia ndio aya yenyewe.
Hili nililijibu mzee kisha nikakuwekea aya nikakuuliza na maswali hukujibu.Thibitisha mungu yupo
Hali halisi haipimwi sababu ipo.Hali halisi unaipimaje?
Hujaeleza hata shida yake yeye moja yenye kulazimu ajitokeze,kwani hayo unayoeleza yakifanyika yeye anapata hasara gani au anadhulika na nini?Shida za kujitokeza ni nyingi atawasaidia ata bokoharam wanaodai ni wafuasi wa Allah waache kujivika mabomu , yapo mengi anatakiwa aje awaambia wafuasi wake wayafanye , ataondoa ugomvi wa suni na shia , sasa yeye anasubir mpaka wafe ndio akawachome wakati watu awaelewi huku kipi ni kipi ahahahhahahahaha
Sijakuchagulia silaha huo ni utaratibu kijana.hilo sio jukumu lako, huwezi nipangia kipi kianze kipi kifate
ushazingua sasa vipi unichagulie silaha??
Sio kweli nilijibu kisha nikaweka aya kisha ndio nikauliza maswali.unakumbuka nilivyokuuliza uthibitishe mungu yupo hukujibu ila ukauliza swali?? Unalikumbuka swali ulilouliza?
Kwanza Hakuna swali umejibu na hutoweza. Hujaweza kithibitisha mungu yupo, sheria gani imekupa kibali hicho??Sijakuchagulia silaha huo ni utaratibu kijana.
Hivi inakuwaje mimi uniulize maswali halafu nisikujibu nikwambie usinichagulie silaha ? Nitakuwa na akili au utoto ?
Jifunze kuweka kila kitu mahala pake,hiyo kauli umeielewa vibaya.
Yangu yaliyotangulia ushayajibu??Jibu maswali niliyo kuuliza.
Nimekubia habari za aya sijui kuraan na upupu mwingine wenye mfanano kama huo peleka sehemu za imani. Vitabu vya imani havijibu maswali yenye kutaka majibu ya fact wala kufikirikaSio kweli nilijibu kisha nikaweka aya kisha ndio nikauliza maswali.
Rejea nilipo kujibu utaona,niko makini sana kuliko unavyofikiria.
Tuendelee.
Safi kabisa,nakufundisha sasa,haya maneno inaonekana anasimulia Mathayo au mtu mwingine.Mathayo 28:5-8
" Lakini yule malaika akawaambia wale wanawake, “Nyinyi msiogope! Najua kwamba mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa. Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone mahali alipokuwa amelala. Basi, nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka kwa wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni.” Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, hao wanawake walitoka upesi kaburini, wakakimbia kwenda kuwaambia wanafunzi wake."
Jibu maswali ya hapo juu.Hiyo aya inasema wazi tena msemaji malaika kuwa Yesu kasulubiwa na kafufuka "
Swali langu unaiamini ? maana umempa jamaa AYA kwamba eti Allah kasema ndio uthibitisho wako kuwa eti Mungu yupo masikhara makubwa aya
Nacheka sana,hivi ndivyo tunamalizaga mijadala na watu msiojua.Kwanza Hakuna swali umejibu na hutoweza. Hujaweza kithibitisha mungu yupo, sheria gani imekupa kibali hicho??
kama umeshindwa kujibu maswali yangu umekosa hata vigezo vya kunishauri
Yangu yaliyotangulia ushayajibu??
Nimekubia habari za aya sijui kuraan na upupu mwingine wenye mfanano kama huo peleka sehemu za imani. Vitabu vya imani havijibu maswali yenye kutaka majibu ya fact wala kufikirika
Hujajibu na sina haja ya kurejea huko
Hujathibitisha mungu yupo
Hili nililijibu mzee kisha nikakuwekea aya nikakuuliza na maswali hukujibu.
hakuna swali hapoHapa nasubiri yale maswali uyajibu kisha tuendelee.
unawezaje kujua kua ipo?Hali halisi haipimwi sababu ipo.
Ni sawa leo hii uulize unapimaje jua kama lioo wakati jua lipo kila siku tunaliona isipokuwa kwa hali maalumu.
Unakwama wapi kijana ?
Ukimaliza kucheka uje uthibitishe mungu yupoNacheka sana,hivi ndivyo tunamalizaga mijadala na watu msiojua.
Ukijibu maswali yangu,nitag tuje tuendelee na nikujibi maswali yako.
Niliwadekeza sana mpaka mkajisahau,nilikuwa najibu tu nikaona huu ujinga.
Mwendo sasa ni swali kisha jibu kisha swali.
Nipo .....
Halafu unataka ujadiliane na mimi ?Mimi mtu
Safi sana,kaka kwa heshima na taadhima niko chini ya miguu yako aisee,naomba unijibu tu yale maswali yangu mawili niliyo kuuliza baada ya ile aya,pamoja na uoga wangu msaada tafadhali.mtu anaye jinadi kua yeye sio muoga au kuita wengine waoga mara kwa mara mtu huyo ni muoga sana.
Jibu swali kijana,unajua kuna muda unapojibu swali unalo ulizwa ndio unaona jibu humo na utajua kwanini umeulizwa hivyo.Kwani chanzo kina umuhimu wowote ili kitu kiwepo??
Unajua mpaka najiuliza kwanini hujibu ninacho kuuliza ?Kwani haiwezekani kitu kikawepo bila chanzo??
Swali ni rahisi je kile kilicho andikwa mule cha uongo ?maswali yametoka kwenye kitabu cha imani tena waisilamu inamaana hata mkristo tu hakimuhusu, utaniambieje mimi kua yananihusu
Hujathibitisha mungu yupo
Sasa unapo kanusha ndio uwe unakosoa kielimu kisha unatupa ukweli.Navyokanusha mungu hayupo nakua Nakanusha hadi hizo riwaya kua zimeandika uwongo
Safi kabisa,ni nini maana ya Riwaya,maana kila kitu kimeandikwa mpaka maana ya riwaya inajulikana.Hujathibitisha mungu yupo. Hizo karatasi za riwaya uzoziita ufunuo wa imani naziona kama lizla
Sasa ndio ujibu kile kilicho ulizwa mzee. Mbona unakwepa kwepa ?Aya yakufikilika haiwezi kujibu hoja zangu. Nataka fact
Usirudie swali ambalo nimeshakujibu.unawezaje kujua kua ipo?
Kijana laiti kama ungekuwa unajibu maswali yangu sikufichi huu ujinga usingekuwa unauuliza.Kwanini kusiwepo na njia yakupima jua kama lipo??
Jua halipimwi mzee,jua lipo na kutazama hakuitei kupimwa ndio maana pakawa na vipimo.Mbona zipo njia nyingi zinapima jua kua lipo ikiwemo kwa njia ya macho???
Hili limeisha kama utakuwa na swali lingine baada ya kujibu maswali yangu,nitag nikujibu.Ukimaliza kucheka uje uthibitishe mungu yupo